gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
that is absolutely true. hata kama unacheat mara nyingi sana lazima itakuwa ni kwasababu ya mvuto fulan but sex just as kusex kama ng'ombe pasi na mvuto that is beyond ones thinking.Aisee miye kus.x na mtu ambaye hata siwezi jidanganya kumpenda ni ngumu, for what? sijapata jibu. Sijawahi kuharibu nikiwa nimelewa, sijawahi kubakwa (labda nilivyokuwa mdogo), sijawahi kuhitaji kitu so bad kiasi kwamba nitumie mwili wangu kama njia; so lazima kuwe hata nakainfatuation au admiration itakayonifanya nimchojolee mtu.