...how many lovers is too many?

So what is the magic number? Is it one, three, 15 or like players over 1,000.How many lovers have you had before marriage? And does it matter?.In my experience, for most men and women, a number fewer than 10 suggests inexperience, while a number higher than 10 suggests promiscuity.
Before marriage ,I had more than 10 lovers ,was I promiscuity? And I really enjoyed the chase and when i got into marriage was experienced enough not to go back to the old ways

But guys all in all how many is too many, either before or after marriage?

Kwenye bold, according to who?
Muhusika au society (taifa, dini, kabila, age group...n.k)

According to Kaunga
Number does'nt matter; kinachomatter zaidi ni a person mwenyewe na tabia zake ambazo in one way or another zitaexplain kwanini amekuwa na mtu mmoja tu au 10 au 32.

Ukienda na majority wanasema nini, unaweza kupoteza mtu ambaye alikuwa ndio chaguo lako (ubavu wako) na kupata kichomi ambaye ni mbwa mwitu mwenye ngozi ya kondoo. Lakini ukienda na kile ambacho Kongosho huwa anasema instinct yako waweza vumilia mapungufu ambayo pengine ungeshindwa kuvumilia kama halikuwa chaguo lako (ulichukua coz u were expected to chukua huyo).

Naona hujawaita vizuri kina gfsonwin na snowhite ndio maana hawajatokeza.
 
Last edited by a moderator:
Mi najibu swali la kwanza,la pili mai waifu ameshakujibu hapo juu.Kabla sijaoa sikuwahi kudo!Yaani mai waifu ndo alifungua ka ukurasa na mpaka leo na milele ni yeye tu!
 
Mmmh nafuu dada yangu mpenzi umekuja.Dada Kaunga umechambua vizuri sana,thread hii nimeileta ili labda nipate mawazo ya watu wengine baada ya uzoefu wangu binafsi niliokuwa nao kwenye maisha yangu yaani kabla ya kuoa,baada ya kuoa na later on "usimbe",you know what i mean.
 
Mi najibu swali la kwanza,la pili mai waifu ameshakujibu hapo juu.Kabla sijaoa sikuwahi kudo!Yaani mai waifu ndo alifungua ka ukurasa na mpaka leo na milele ni yeye tu!

Duh Eiyer ngoja nikupe utakatifu kabisa uwe St.Eiyer.Ila muombe mungu iwe kama ilivyo na hata milele na milele,maana maisha yamenifundisha kwamba watu wa aina hii wakichepuka basi huwa ni balaa tupu
 
Kwenye bold, according to who?
Muhusika au society (taifa, dini, kabila, age group...n.k)

According to Kaunga
Number does'nt matter; kinachomatter zaidi ni a person mwenyewe na tabia zake ambazo in one way or another zitaexplain kwanini amekuwa na mtu mmoja tu au 10 au 32.

Ukienda na majority wanasema nini, unaweza kupoteza mtu ambaye alikuwa ndio chaguo lako (ubavu wako) na kupata kichomi ambaye ni mbwa mwitu mwenye ngozi ya kondoo. Lakini ukienda na kile ambacho Kongosho huwa anasema instinct yako waweza vumilia mapungufu ambayo pengine ungeshindwa kuvumilia kama halikuwa chaguo lako (ulichukua coz u were expected to chukua huyo).

Naona hujawaita vizuri kina gfsonwin na snowhite ndio maana hawajatokeza.

abee niko hapa!
 
abee niko hapa!

Umemsoma kaka yangu KIKUNGU, anataka maoni yako juu ya idadi ya wapenzi mtu amekuwa nayo, kama inajalisha ktk mahusiano mapya, sijui kama nimempatia kiusawasawa maana katumia kilugha cha B palace.
 
Last edited by a moderator:
Lakini mtu mmoja utapendapendaje hivo hao zaidi ya 10 ni lovers au mlikuwa mnaplay tu sex ? Hata sielewi mimi ni mgumu kupenda!
Mtu unaweza kuwa amesex na watu 100 but lovers ni wawili au imekaaje wadau?

Aisee miye kus.x na mtu ambaye hata siwezi jidanganya kumpenda ni ngumu, for what? sijapata jibu. Sijawahi kuharibu nikiwa nimelewa, sijawahi kubakwa (labda nilivyokuwa mdogo), sijawahi kuhitaji kitu so bad kiasi kwamba nitumie mwili wangu kama njia; so lazima kuwe hata nakainfatuation au admiration itakayonifanya nimchojolee mtu.
 
Unatakiwa ukiachana naye hakuna kukumbuka tena jina so for her/his number!!! Ha ha ha ha!!! Multiple pre-marital love affairs!!! Then how many after marriage? siku hizi na connections (mtandao) tuko wangapi ni bora stick to one and the only one love!! It is possible, it bigins with you!
 
But guys all in all how many is too many, either before or after marriage?

There is no too many until is too many.
Always too many is wonderful.
In all directions absolute number is positive.

KIKUNGU
pembeni ya Chabutwa endelea kuwasugua hawa viumbe hadi uhakikishe umefanikiwa kuziba matundu (k#m@) yao. Ila sijajua huwa unatumia matundu ya mbele au nyuma? Nauliza tu for just curiousity and fun.

Bazazi ni Bazazi!
 
Mi najibu swali la kwanza,la pili mai waifu ameshakujibu hapo juu.Kabla sijaoa sikuwahi kudo!Yaani mai waifu ndo alifungua ka ukurasa na mpaka leo na milele ni yeye tu!

hongera sana kwa kuwa kwenye real love. but tell me leo unajiskiaje? najua unayofuraha sana ndo maana umekuja jamvini leo lol!
 
There is no too many until is too many.
Always too many is wonderful.
In all directions absolute number is positive.

KIKUNGU
pembeni ya Chabutwa endelea kuwasugua hawa viumbe hadi uhakikishe umefanikiwa kuziba matundu (k#m@) yao. Ila sijajua huwa unatumia matundu ya mbele au nyuma? Nauliza tu for just curiousity and fun.

Bazazi ni Bazazi!
Bazazi sidhani kama KIKUNGU hapo amekuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom