hapo ndipo utakapofunga ndoa ya mkeka live bila chega
Ukikuta duble duble je?
Utajiegama wapi?
Heheeeeeee..!!!,
Halooooooo.....!!!,
Ina HU?
Young_Master mpe mpe mpe mapande yake hayo.
platozoom njoo huku tunamsuta mkeo.
Karuka deki kakanyaga Tv,
leo ndo leo.
Mpe huyo.
Kumbe unajua ka mbea e?
Kumbe ndio lengo lake eeee??? nashukuru kwa kutonya shem wangu. Ndio maana nakuzimia
Double double ndio nini? Ongea kiswahili kizuri bwana...mie mwenzako mzee.
ndio maana ukaambiwa subira yavuta heri ulishaniona mbea
mambo ya uswahilini hayo!!
Ukikuta duble duble je?
Utajiegama wapi?
ndio maana ukaambiwa subira yavuta heri ulishaniona mbea
c umwambie ukweli mwenzio
Ndio maana yake nini shem? Embu nitonye mwenzio.
Nilikuwa natani tu shem...na wewe hutaniwi?
Ukinikuta jike dume je?
Nani atamuanza mwenzake?
najua unatania wng ila kuwa makini na mtoto A
eeeeh mambo hadharani kumbe ni she he afadhali .............
Mh mamushka yani unafurahi?
Ila uhakika zaid mulize mmeo P ndo anajua ka me ni she or he!
nna wacwac na huo ushemeji wenu.
Sio ule wa zima taa?
Naenda kusema.
yaan kile kitu kinaonekana mara mbili mbili