AmKATRINA
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 414
- 366
Kitu gani hicho? Mbona unaniweka njia panda mrembo?
Sukari guru!
Kitu gani hicho? Mbona unaniweka njia panda mrembo?
Sukari guru!
Acha kunidanganya...unanifanya mimi mtoto mdogo wakati mimi ni mzee tena nimekula chumvi kuliko wewe.
Ya mawe au ya unga?
Au chumvi ya Uvinza?
Acha kunidanganya...unanifanya mimi mtoto mdogo wakati mimi ni mzee tena nimekula chumvi kuliko wewe.
kheee kubali yaishe ingiza chombo kwa ndumo
hapana. chumvi pori...umeshawahi kuila wewe?
Hapana haijawah kuliwa, hii au ile chumvi,
tena ntakuwekea na ka pilipili kidogo pembeni ni mwendo wa nyam! nyam! nyam! Mpaka kumoyo.
kheee kubali yaishe ingiza chombo kwa ndumo
niingize wapi? halafu ndumo ndio nini?
Usiniwekee pilipili bwanaaaa mwenzako mie nina vidonda vya tumbooo wewe iongezee kachumbari na chumvi kidogo kwa mbali.
Poa.
Ila mbona umekuja usiku sana?
Si utalala hukuhuku?
Au unaogopa nakosi?
Nahs kama nanilii vile.
Sawa ntalala huku...ila mie ntalala chini.
Nini hiyo tena? Embu nionyeshe iko wapi.
Iko kule Kimboka Buguruni,
ila nackiaga ni balaa!
usiniambie...Inang'ata eee???
Haing'ati wala nini sema ina weza kugeuka chatu samtain ukamezwa. Umeshaijua Young_Master