How do I look...???

Nawe acha umbea!
Dada yako mama Kipanga hajaolewa mpaka leo,kwanini ucmtafutie mchumba kazi kutafutia wanawake wa wenzio wanaume?
Amekwambia anataka mume?
Utaulimbokiwa ku Mabwepande ebo!

Kwa sisi tunaoelewa saikolojia ya wanawake...........nahitimisha kwamba umenipenda, nami nakuahidi ummu kulthum hana hiyana kukukaribisha kama mke wa tatu
 
Last edited by a moderator:
English course puliiiz

ishhhh!!English course ya nini hapo S natumai umeelewa kama nilivyokuelewa hapo kwenye nyekundu,kuna Tanzanian english,Nigerian english,american english na kadhalika,KISWAHILI FASAHA kinazungumzwa TANZANIA PEKEE wengine wanachapia.kikubwa ni maelewano hata kwa lugha ya alama mamito!!
 
Nani aje kwako ulivyo mlevi hivi
girls_49.jpg

Nyeee!
 
ishhhh!!English course ya nini hapo S natumai umeelewa kama nilivyokuelewa hapo kwenye nyekundu,kuna Tanzanian english,Nigerian english,american english na kadhalika,KISWAHILI FASAHA kinazungumzwa TANZANIA PEKEE wengine wanachapia.kikubwa ni maelewano hata kwa lugha ya alama mamito!!

Mwambie huyo Suzie........."mtumwa" mamboleo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom