tutaanza kesho kufunga inshaallah
leo ni yaum shaqAmiin
Subhanallahالسلم اليكم All جميعا 🌺
الحدالله to be المسم في كليحل
🙏يربي هدنا الصرط المستقبم
🌹
And they will all wish for a good fast month RAMADHANI KARIM.🌹
Ahsante Evelyn Salt kwa baraka zakoNawatakia Ramadhan njema waislamu wote.....Allah azipokee dua zenu.
kuna calendar ya kibakwata na ya kimataifa, kimataifa kesho wanafunga. ila kibongo bongo ni yaum shaqSio Jana kweli?
tungeandaa futari ya pamoja ya JF ingependeza?Kila la heri
Mdau mmoja anialike sijawahi kualikwa kwenye mapochopocho
Yaptungeandaa futari ya pamoja ya JF ingependeza?
HaaaaKila la heri
Mdau mmoja anialike sijawahi kualikwa kwenye mapochopocho
tutaiita JF futari