Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

Kwani hujui tunavyofanya siku hizi!!! Tunaanza kuingiza kidole... ukiona kimenasa unakikata... ukiona kidole hakijaganda unaendeleza kudinya.

Kwa hii hapa huwezi! Ukionesha nia tu inakuvuta kama sumaku na utaganda vibaya.
 
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa).

Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.

Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl.

Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.

Mi huwa hili jambo linalipa wakati mgumu sana! Kwa ile ishu ya kwaza kwamba unamtaka mke wa mtu ambaye alikuwa girlfriend wako, tena your first love huwa mimi sikukubaliana nalo. Lakini kwa hili, naona sio vibaya mradi anaheshima we songa mbele....Ila kabla ya kusonga mbele kwanza jaribu kudadisi kama huyo HG hana rafiki yake ili yasije kukukuta mambo mabaya...Kama yuko free, kamata tu bwana! Naunga mkono
 
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa).

Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.

Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl.

Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.

Me naamini huo urembo umeanza kuuona baada ya kumchoka mke wako,Swala hapo ni kuongea na mkeo na kumweleza unavyokereka na tabia zake.
 
Kaka achana na hilo wazo. Hg ni kama mwanao na unapaswa kumchukulia hivyo.Tafuta kuweka sawa mambo yako na mkeo
 
mwambie mkeo nae awe anajipodoa, kila mwanamke ni mrembo ila ni juhudi zake tu kujiweka nadhifu avutie. Jaribu kufanya vitu vitakavyomtia wivu mkeo nae aone anatakiwa kubadilika kama kumsifia mwanamke mrembo ukimuona kwenye tv, halahala isiwe unamsifia mwanamke yuko mbele yako au mmepishana nae njiani, awe wa mbali kabisa usiyemjua. Ataona wivu tu nae atajiweka soap soap, wanawake tunapenda kusifiwa jamani! Cha muhimu zaidi mnunulie vifaa vya kumpendezesha kama nguo unazojua akivaa anakuvutia, nenda nae dukani achague make ups azipendazo n.k. Mwenyewe atajiuliza kwanini mume wangu anafanya hivi, kumbe sivutii na minguo yangu ile! Uwe mvumilivu, asipovitumia hivyo vitu muulize kwanini, kama hatabadilika basi huyo nunda! Mpotezee
 
Nimeisoma hii nikiwa nimetulia, ushauri wako ni mzuri sana. Umezungumzia upande wa mavazi lakini hili la kiburi na kuchonga nalo linanipa tatizo. Mke wangu ukisahau kufanya kitu fulani, anaweza kukusema mwezi mzima. Je huyu ni mke au redio clouds?
 
MREKEBISHE MKEO USIJE LETA NGOMA HOME KUNA WAREMBO WENGI MTAANI KULIKO HUYO HG WAKO,UKIMALIZA YEYE UTAANZA KUSAKA MWINGINE NA MWINGINE MPK UFE ACHA UF...LA WEWE TUlIA NA MKEO
 
It is a dangerous mistake to ignore your head because of your heart! By T D Jakes

ni kweli bro, huyu jamaa anaonekana kakolea kwa hg, lkn hajui tu kitakachomtokea baadae..

nakumbuka kwenye miaka ya 90 hivi bro wangu kabisa alimpa mimba hg..baadae akamuoa km second wife..

Aise we acha tu ilikuwa ni aibu, mzee wetu alimaind sana..kila mtu alimuona bro km mjinga fulani hivi..ilikuwa ni stori mtaani na hata kazini kwa bro kwa ujumla ilikuwa aibu..

yule first wife alivyoona HG wake ndio mke mwenzie, akaona bora asepe akaomba talaka na kuondoka zake..

Huyo HG baada ya kuwa wife, ALIBADILIKA !!!! akawa tofauti na alivyokuwa..alimpelekeshaje bro wetu, bro alikuwa na afya nzuri lkn ghafla alikwisha akawa km ana ngoma hivi..
Yule HG aliyekuwa anaonekana mpole na mnyenyekevu alibadilka..alipenda maisha ya juu na gharama kubwa
mikosi ikaanza kumuandama bro akaachishwa kazi, akafilisika na kuwa choka mbaya, mtu ambaye enzi hizo alikuwa anabadilisha magari..aliuza nyumba, magari akabaki mtupu..
Yule 1st wife akaolewa na mume mwingine maisha yake yako vizuri tu huko aliko hadi leo..

bro wangu baada ya miaka kadhaa akamkumbuka yule 1st wife wake, akawa anasema bora nisingemuacha mama fulani....hadi leo hii huwa anasema kama mama fulani(1st wife) asingeolewa ningemrudia lkn ikawa ndio hivo tena haiwezekani..
Na yule 1st wife huwa anakuja home kutusalimia ndugu na wazazi wala hana kinyongo mwenyewe..

Huyo HG alipoona bro kafilisika akatimua zake..tunasikia naye kaolewa tena..ila bro kabaki single tu hataki tena kuoa ameamua kulea watoto wake, au sijui ndio anamsubiria yule 1st wife wake aachwe amrudie? sie hatuelewi kwani haishi kumtajataja mama fulani..
 
Point hapa ni kuwa mchukulie kama ndg wa karibu, usijali umri.
Busara ya kuwa kiongozi wa nyumba itumike!
 
Mh! nimeshika shamvu ila jamaa kweli anapitia wakati mgumu kama mimi. Hebu tazama hii

https://www.jamiiforums.com/mahusia...ataka-turudiane-alikuwa-girlfriend-wangu.html
 
wewe huna akili.. au zimekupungukia....
kwani Mkeo ulilazimishwa kumuoa...
fanya hiviii... two things involved...

1. Kama wewe ni Muislam mpe talaka tatu asepe...
2. Kama ni Mkristo.... unless umemfumania live...ndoa ni mpaka kifo kiwatenganishe.. So KILL HER and marry your housegirl...
if that is what you want... Jinga kabisaaaa
 
Inaelekea ulizaliwa na matusi wewe na nikaa kule Uwanja wa Hyena! Wewe no jinga maana umekurupuka kujibu na ushauri wako haufai.
 
nimewasikia wanaume wengi wakitetea hoja ya kumlala house gal pindi mke anapokua na madhaifu.je nisawa mke kifanya vivyohivyo mume anapokua na madhaifu? wanaume wamekua wabinafs hasemi idhaifu wako wala kukusaidia kujirekebisha wake hauonekani kwani unamhudumia tena unafundishwa uvumilivu ila wanaume wengi uvumilivu haupo anavyotaja hg kua mbadala wa mkewe kana kwamba mke haon mibadala ya mume ila anakuheshim tu
wanaume badilikeni.najua mtaponda ila mmeelewa nnacho sema
 
Back
Top Bottom