Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,674
Dharau ya mkeo haiwezi kukufanya ukatembea na house girl wako huo bado ni uma....ya tu. Wala housegal hawezi kulipa kisasi hapo nakataa, bado unshine wa mume unaplay part! Kama ni mstaraabu na anajiheshimu hawezi kupelekwa na house gal kwanza wababa wanaojiheshimu huwa wanakemea tabia chafu za wafanyakazi wao na pengine humwambia mama mwenye mji. Kama mkeo kakushinda kwa dharau na unamuona msichana wako wa kazi ndo mbora zaidi ndo maana nikasema bora kuachana ili umuoe huyo housegirl ijulikane kabisa!!Mkuu kuna wanwake wanawadharau sana hawa watu Lakini hawa pia ni binadam na ni wanawake kama wao na pia wengine wameweza hata kuwalipizia kwa kuwachukulia waume zao.