House girl naye mwanamke

Mkuu kuna wanwake wanawadharau sana hawa watu Lakini hawa pia ni binadam na ni wanawake kama wao na pia wengine wameweza hata kuwalipizia kwa kuwachukulia waume zao.
Dharau ya mkeo haiwezi kukufanya ukatembea na house girl wako huo bado ni uma....ya tu. Wala housegal hawezi kulipa kisasi hapo nakataa, bado unshine wa mume unaplay part! Kama ni mstaraabu na anajiheshimu hawezi kupelekwa na house gal kwanza wababa wanaojiheshimu huwa wanakemea tabia chafu za wafanyakazi wao na pengine humwambia mama mwenye mji. Kama mkeo kakushinda kwa dharau na unamuona msichana wako wa kazi ndo mbora zaidi ndo maana nikasema bora kuachana ili umuoe huyo housegirl ijulikane kabisa!!
 
Kutembea na house girl wako ni kutokumuheshimu mkeo na hata kujiheshimu wewe mwenyewe,ukishalala na house girl hata mwanao unaweza kulala nae,ukisikia uzinzi usokua na mipaka ndio huo, yani mke yuko ndani umuache ukamfate house girl chumba cha pili? hata kama anafua anapika ana peleka watoto shule hayo yote ndio kazi aloajiriwa kufanya haiusiani kama mama anafanya majukumu yake au la, na sidhani kama pia kuna ulazima ww baba wa ndani ya nyumba uwe na ukaribu na house girl ,unachotaka mulize mkeo imetosha ww na house girl baada ya salam au ukimuliza jambo imetosha,utaona baba mzima anasifia kwa wenzie house girl wangu tangu nilipo muajiri sikuizi namuona anapendeza guu guu wo wo wo ndio oooooooooo roho inanienda mbio akitembea ndio ananimaliza kabisaaaaaaaaaaa! loo! fisadi usojijua.
 
Kazi hizi zote afanye halafu asipewe zawadi ya ushindi kwa nini,...kufua,kupika,kuosha vyombo,kutenga chakula,kupasi nguo,kuogesha watoto,kudeki,kubrsh viatu, ...and so forth and so on..........cha kufanya kama hampendi achukue nafasi ni mjitahidi kufanya majukumu yenu ya msingi kama wake
kama mwanao wa kike anafanya hizo kazi kwa nini usimuoe? Tena kama wale wanaolelewa na mama zao wasiowapenda(sanasana wale ambao si wakuwazaa) ndo mnawapelekesha kweli huku mnawadekeza hao vimada wenu! Utakuta kimwanamke kimekaa eti kinasubiria binti atoke shule ndo aje afanye kazi zote halafu na libaba nalo linatoka kazini linaangalia tu eti 'my wife' kapumzika! Kama kazi zote hizo anabambikiwa mtoto kwanini usitembee na huyo mwanao kama kigezo ni kazi?!!! Hujaniconvice bado....
 
mimi nawadharau sana wanaume wanaotembea na mahousigeli wao! hawana tofauti na wanawake wanaotembea na baba wakwe zao! yaani wanawake woote na vimeo huko barabarani uje ukatembee na housigeli, ambaye mm namchukulia kama mwanangu ama mdogo wangu? yaani nitamuozesha housigeli kwa lazima na kumuachia nyumba kama adhabu afu ahangaike nae!
hivi mimi naweza kutembea na fundi ambaye mume wangu anapeleka gari alifanyie service kwa sababu mume wangu haingii uvunguni mwa gari mwenyewe? akili matope,kama kuna mtembea na mahousigeli anasoma hii, asee aache manake ni aibu na hiyo ndo level yake ya upumbavu!
Mkuu kuna wanwake wanawadharau sana hawa watu
Lakini hawa pia ni binadam na ni wanawake kama wao na pia wengine wameweza hata kuwalipizia kwa kuwachukulia waume zao.
 
Hakuna kosa la kiufundi kama kumtafuna hg don't try this at home plse!!!
 
mimi nawadharau sana wanaume wanaotembea na mahousigeli wao! hawana tofauti na wanawake wanaotembea na baba wakwe zao! yaani wanawake woote na vimeo huko barabarani uje ukatembee na housigeli, ambaye mm namchukulia kama mwanangu ama mdogo wangu? yaani nitamuozesha housigeli kwa lazima na kumuachia nyumba kama adhabu afu ahangaike nae!hivi mimi naweza kutembea na fundi ambaye mume wangu anapeleka gari alifanyie service kwa sababu mume wangu haingii uvunguni mwa gari mwenyewe? akili matope,kama kuna mtembea na mahousigeli anasoma hii, asee aache manake ni aibu na hiyo ndo level yake ya upumbavu!
Kweli!
 
Kutembea na house girl wako ni kutokumuheshimu mkeo na hata kujiheshimu wewe mwenyewe,ukishalala na house girl hata mwanao unaweza kulala nae,ukisikia uzinzi usokua na mipaka ndio huo, yani mke yuko ndani umuache ukamfate house girl chumba cha pili? hata kama anafua anapika ana peleka watoto shule hayo yote ndio kazi aloajiriwa kufanya haiusiani kama mama anafanya majukumu yake au la, na sidhani kama pia kuna ulazima ww baba wa ndani ya nyumba uwe na ukaribu na house girl ,unachotaka mulize mkeo imetosha ww na house girl baada ya salam au ukimuliza jambo imetosha,utaona baba mzima anasifia kwa wenzie house girl wangu tangu nilipo muajiri sikuizi namuona anapendeza guu guu wo wo wo ndio oooooooooo roho inanienda mbio akitembea ndio ananimaliza kabisaaaaaaaaaaa! loo! fisadi usojijua.

Asante mpendwa!!
Niongezee kwa kuuliza swali kwa wanaume wenye vijisababu kwanini wanatembea na HGs wao:

Ewe kaka/baba
Iwapo mkeo nafanya kazi kwenye ofisi yenye mabosi wanaume na yeye mkeo ndio msaidizi mathalani Katibu mukhtasi au nafasi yoyote ile ya usaidizi, mnaonaje basi mkakubali hao wake zenu wawe halali ya mabosi maana mabosi hao wanafanya kazi nzuri ya kuongoza kuwazidini au basi kwa vile mkeo secretary anampikia chai na kumhudumia kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuhakikisha nyumbani kwa bosi kuko sawa, bosi anawajibika kumpongeza huyu mwanamama kwa kazi nzuri kwa kulala naye kama ambavyo nyie mnawapongeza ma hausgeli wenu kwa kazi nzuri??

Litawakuna hili im sure!
 
jamani sometimes mahose girl wengine hawavutii hata kidogo hivyo inakuwa vigumu yeye kutongozwa na vijana wengine wa kitaa, sasa house girl amekaa kwangu miaka miwili au zaidi na yeye ni mtu mzima basi anahitaji kupata burudani wanayopata watu wazima, mimi nitamla kwa kumsaidia tu na si vinginevyo maana nisipomla atamla nani na kwangu geti kali?
 
Thats not a defence. Mwanaume mwenyewe kama ni kicheche, kicheche tu hata ufanyeje! Mwanaume mwenye busara na anaejiheshimu hawezi fanya upuuzi huu ni bora akuache tu ili waoane kabisa.
Sasa kama atakuwa anaoa mahausi girl atawaoa wangap? Koz mke akisepa h/g alieolewa anakuwa mke, then wanamtafuta h/g mwingine, mzee atakula huyu mpya, then wife(h/g wa mwanzo) atakula njia, mgeni anaolewa kisha anatafutiwa h/g mwingine mzee kama kawa anamega, wife barabara,,,,,,, itakuwa ndo nini?
 
Mahouc-gel wengi wanaokuja hapa home ni wachawi...!! mara nyingi hawamalizi mwezi wanaondoka coz wanashindwa kupaa usiku wakiwa ndani ya nyumba!!!
 
fimbo ya mbali haiui nyoka bana,.....by the way_nafikiri mama mwenye nyumba ndio anachangia kwa kiasi kikubwa mzee afanye hivyo,hasa pale anapomwachia kila kitu afanye msichana wa kazi,.....unasema alah aache nini

Katika watu naowachukia wewe leo umeongeza idadi kha!! Huna hata haya??? HUFAI
 
Sasa kama atakuwa anaoa mahausi girl atawaoa wangap? Koz mke akisepa h/g alieolewa anakuwa mke, then wanamtafuta h/g mwingine, mzee atakula huyu mpya, then wife(h/g wa mwanzo) atakula njia, mgeni anaolewa kisha anatafutiwa h/g mwingine mzee kama kawa anamega, wife barabara,,,,,,, itakuwa ndo nini?
Nashangaa! Yaani hayo sio maisha kabisa ni upuuzi tu na uchafu mtupu!!! Baba mzina eti anajianika kwa house girl lol! Shame on him...!!!
 
Ma hausi girl wanajua kuwa'handle wanaume (waume za watu)
Si wanawaona ni maboya ndo maana wanawakomba akili coz wameshajua udhaifu wao na tamaa zao!! Hakuna cha kuhandle wala nini hizo ni tamaa tu za wanaume wenyewe. (wanaotenda).
 
jamani sometimes mahose girl wengine hawavutii hata kidogo hivyo inakuwa vigumu yeye kutongozwa na vijana wengine wa kitaa, sasa house girl amekaa kwangu miaka miwili au zaidi na yeye ni mtu mzima basi anahitaji kupata burudani wanayopata watu wazima, mimi nitamla kwa kumsaidia tu na si vinginevyo maana nisipomla atamla nani na kwangu geti kali?
Wakati anakuja kufanya kazi ilo geti halikuonekana ee? Vipi mkeo akifanya hivyo na house boy kwa kisingizio cha geti utashangilia eti? Na ataonekanaje mbele ya familia na jamii kwa ujumla? Yaani hata hicho bado ni kisingizio tu cha tamaa za mwili.
 
kibatani cha thanks kwani kimeenda bungeni?
lets put the record straight here: kazi hata kama anafanya housigeli ni chini ya usimamizi wa mke!ndio sababu nyumba zinatofautiana kwa usafi,ubora wa chakula nk.kama mama ni mchafu na nyumba itakuwa hivyo coz msimamizi ataona sawa tu!kudhani kuwa hgeli ndo anafanya nyumba yako iimame ni kama donor kufikiria secretary anayeleta docs na chai anafaa kuwa mkurugenzi!dawa ya mwanaume anaechukua hgeli ni kumuachia nyumba aone mziki wake.tunaambiwa wamama tunanyanyasa mahgeli coz tunawagombeza na kuwashurutisha,ngoja awe mke kabisa ndo tuone utakavyombembeleza kufanya usafi etc!
 
Gosh! Nawatakia 7 7 njema!

House Girl ni Mwamamke
BarMaid ni Mwanamke
Saluni-Lady ni Mwanamke
 
Siku zote sisi wanaume ni watu wa kutamani na sio kupenda kama wanawake walivyo. Sasa mke aki-deligate kila kitu kwa HG ndipo tatizo linapotokea kwa vile baba anapata nafasi ya kumchunguza na kugundua sifa za kumtamanisha. Ushauri kwa mke; siku zote wakae katika nafasi zao badala ya ku-deligate kila kitu kwa HG.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom