House girl/mfanyakazi wa ndani anahitajika haraka kariakoo

Silicon Valley

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
1,092
1,116
WANA JF NAOMBA MSAADA KUPATA MFANYAKAZI WA NDANI, ANAYEWEZA KUISHI HAPA HAPA, MSHAHARA NNA WA KUVUTIA NA NI MAELEWANO, ningependa awe na mdhamini, iwapo tutakosa wa kuishi naye basi kwa muda tukipata wa kuondoka si mbaya,

Vilevile kama pana mtu anawaelewa mawakala wa ajira kama hizi naomba contacts zao, au mahala walipo kwa msaada zaidi..

MAJIBU WAWEZA NITUMIA PM, AU JIBU HAPA TU
 
Nipo tayari kuwa houseboy tafadhali sitanii

Nitajie Umri wako,mimi ninahitaji kijana wa kazi kuanzia tarehe 01/09/12,lakini sio kariakoo ni eneo la Mbezi ya Morogoro Rd.ni pm kwa maelekezo zaidi.
 
Mkuu nakushauri katafute kijijini kwako hukukwetu hakunaga tena waku fulia watu machupi

nahisi atakuwa anatumia washing machine so hata huyo house girl hatakuwa anafua nguo ni kazi nyingine tu. mkuu hata wewe unawapa kazi za kufua nguo za ndani wafanyakazi wa ndani? ni tabia mbaya sana,
 
Kuna Dada mmoja yeye ni mtu kutoka Malawi anasaidia hapa ofisini, anasema ana ndugu yake anatafuta ajira, hawa wanyasa wanasifika sana kwa uaminifu na uchapa kazi hivyo kama utamuitaji yupo tayari.
 
WANA JF NAOMBA MSAADA KUPATA MFANYAKAZI WA NDANI, ANAYEWEZA KUISHI HAPA HAPA, MSHAHARA NNA WA KUVUTIA NA NI MAELEWANO, ningependa awe na mdhamini, iwapo tutakosa wa kuishi naye basi kwa muda tukipata wa kuondoka si mbaya,

Vilevile kama pana mtu anawaelewa mawakala wa ajira kama hizi naomba contacts zao, au mahala walipo kwa msaada zaidi..

MAJIBU WAWEZA NITUMIA PM, AU JIBU HAPA TU

Toa number tukupigie
 
hello watanzania,anayehitaji madereva,mafundi computer,waalimu wa kiingereza na utalii,wafanyakazi wa ndani anipigie 0652835909 NIPO DAR
 
SHUKRANI KWA WOTE WALIOJITOKEZA KUNISAIDIA KWA NAMNA YEYOTE ILE,, Tangazo hili ni la zamani sana tangu mwaka jana augost , na tayari nilishampata...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom