Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,250
- 113,653
Kweli tatizo ni JK mwenyewe. Hata kama ukimpa asome hotuba alizowahi kutoa Mkapa au Nyerere bado atachemka tu. Utoaji hotuba sio uzuri na nguvu ya maneno unayotumia tu bali pia jinsi uitoavyo(delivery). Delivery ya JK ni mbovu.