Katibu Tarafa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2007
- 989
- 51
mbona hakuna jipya,hii hadithi haina mvuto
si angeweza kusema tu "heri ya mwaka mpya"?
hii hotuba nadhani ilirekodiwa kabla ya uchaguzi wa Kenya maana inamuonesha Rais akiwa Ikulu wakati jamaa bado yuko mapumzikoni.
Hajagusia kabisa matatizo ya Kenya au macho yangu yameenda haraka?
Nimesoma speech ya mheshimiwa lakini sijaona strategy yakinifu za kuiondoa nchi katika janga la Ufisadi. we have resources, tuna watu(skilled and competent) lakini nothing can be done kama hakuna strategies madhubuti za kuikwamua nchi. Hotuba imekuwa too much narrative za matukio na majifu na Marekani!! be careful usiuze nji. Mbona kilio cha wananchi cha kukosa huduma na kuendelea kuwa maskini sikuona la maana hapo. JE Ahadi lukuki alitoa amatimiza % ngapi? ilitakiwa atupe performance yake as a perident na serikali. sio hotuba ya maneno katika gunia bila data. Hotuba ya maneno matamu tu kama ya abunuasi tumezichoka tunataka hotuba zinazotekelezeka . Je alifeli wapi and what was the reason given nothing. mbona umaarufu wake unapungua amejeuliza ni kwa nini? na je ana mpango gani wa kurejesha imani kwa wanachi? no! cos he sure of himself as jktanzania kingdom and company till 2015. How comes speech inakuwa kama ngonjera na mashairi? Not impressed at all.
Yaani kazungumza bila kugusia kabisa ripoti ya BOT, kamati aliyoiunda ya madini, Gavana wa BOT kama kajiuzulu au la, Sakata la mahujaji ambao hadi hii leo kama sikosei hawajarudi nchini! ama kweli usanii huu ni wa hali ya juu.
Mahujaji wametangaza kundi la kwanza linakuja leo saa kumi usiku
haya mambo ya kukariri ni mabaya sana hasa tunapofanya vitu kwa mazoea.huwenda hii hotuba ilishasomwa na raisi aliyemtangulia
Yaani kazungumza bila kugusia kabisa ripoti ya BOT, kamati aliyoiunda ya madini, Gavana wa BOT kama kajiuzulu au la, Sakata la mahujaji ambao hadi hii leo kama sikosei hawajarudi nchini! ama kweli usanii huu ni wa hali ya juu.