Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 127
Hapa hatuzungumzii kuwafundisha wanafunzi wasifu wa Nyerere kama kwenye zile propaganda za kumtukuza kwenye 'Tujifunze Lugha Yetu'. Tunazungumzia mawazo ya Nyerere - wanafunzi wanatakiwa kuyajadili, kuyahoji na kuyatumia kujenga hoja zao wenyewe. Hebu angalia vichwa hivi vya mada katika kitabu chake cha 'Africa Today and Tomorrow' alafu uniambia kuna tatizo gani wanafunzi wakizisoma na kuzijadili mashuleni:
Africa's Place in the World
Peace, Unity and People-Centred Development in Africa
Africa Approaches the Twenty First Century
African Unity and Independence
A New Africa
Education and Development in Africa
Africa Today and Tomorrow
Collective Self-Reliance: Africa's Only Future Hope
Peace, Unity and Justice
Education for Service and Not for Selfishness
The Debts of Highly Indebted Poor Countries Should be Cancelled
Money and Politics
Nyerere alikuwa na mawazo gani original? Huko kuforce watu kwenye vijiji alikokopi kwa Mao? Kutaifisha mali za umma alikokopa kutoka Labor Party ya UK? Hizo siasa ni kilimo na propaganda za upuuzi mwingine mbona Mao alishazisema miaka ya 50s katika "The Great Leap Forward" na "The Cultural Revolution"?
Mpaka misemo yake "kidumu CCM, Zidumu fikra za mwenyekiti" amekopi China.Mpaka speeches zake unazosema tufundishe mashuleni zimejaa plagiarism, maana anasema maneno ya watu bila kutoa accreditation, mpaka ile hotuba ya kwenda kumvamia Iddi Amin aliyoitoa pale Diamond Jubilee Hall na kusema "Nia tunayo, nguvu tunazo etc" ali plagiarize wimbo wa a British band iliyo rally behind Winston Churchill wakati wa WW2.
Sasa huyu plagiarist ndiye unayesema tufundishe hotuba zake mashuleni? Si bora tuseme tuchukue kitabu chekundu cha Mao na kitabu cha falsafa za Juche tu tujue moja?