Hotuba za baba wa Taifa zitumike mashuleni

Bluray uwe unatoa evidence. Sasa umeibuka na analogy ya Muungano wakati unajua kuwa kuna aina nyingi za muungano kama wa kwetu. Take Scotland as an example.

Alafu usiwe ahistorical. CCM ya wakati huu sio ya wakati wa Nyerere. Ya sasa ni ndumilakuwili.
 
Nilishasema hapa "ujamaa na kujitegemea" is one of the biggest frauds political science ever witnesed.

Any valid political system must be practicable at the individual level, sasa by definition, ujamaa na kujitegemea ni vitu viwili vilivyo mutually exclusive at the individual level.

Ukiwa mjamaa maana yake unaishi katika society ya watu wanaotegemeana, hivyo hujitegemei.

Ukiwa unajitegemea huhitaji ujamaa, kwa maana kujitegemea ni kujitosheleza, sasa kama unajitosheleza ujamaa wa nini? Na hata ukiamua kuwa mjamaa licha ya kuweza kujitosheleza utavua kujitegemea.Mtu hawezi kuwa mjamaa anayejitegemea at the same time, the two are mutually incompatible.

Sasa hiyo ni fraud moja tu ya Nyerere.

Unavyohushanisha political economy na model ya Nyerere ya ujamaa wa Africa inaonesha namna mawazo yake yalivyochangia katika thana ya sayansi-maendeleo ya sayansi.

Lakini pia hotuba za Nyerere zimegusa maeneo mengi, ubaya wa rushwa katika maendeleo ya nchi, umuhimu wa umoja wa watanzania, kujitegemea kama nchi badala ya kutegemea wafadhili. Hili la kujitegemea Chisano alilisema sana kupinga sera za Mkapa. Kwamba enzi za Nyerere watu waliamini kujiletea maendeleo yao wenyewe. Ndio maana sera za uwekezaji ambazo mawazo yake ni kufikiri kuwa watu wa nje ndio wataleta maendeleo zimeshindwa kuleta maendeleo. Viwanda vingi sasa vimekufa sababu ya sera mbaya zinazokinzana na mtazamo wa Nyerere.

Kifupi hotupa za Nyerere zinachangia maendeleo ya sayanzi, maadili kwa viongozi, kujiletea maendeleo kwa kutumia mali tulizokuwa nazo na umoja wa watanzania. Hii ndiyo elimu ya uraia inayohitajika Tanzania na hivyo hotuba zile zinafaa katika somo la uraia.

Inashangaza kuona mtazamo wako kuwa maadili kwa viongozi, kujiletea maendeleo kwa kutumia mali tulizokuwa nazo na umoja wa watanzani ni mambo yasiyofaa katika mtaala wa somo la uraia.
 
Hotuba za Nyerere ni nzuri sana kutumika sio tu kwenye shule ngazi ya chini kwa maana ya shule za msingi na sekondari ila hata ngazi ya vyuo vya ualimu na vyuo vikuu. Hii ni kwakuwa hotuba za Mwalimu ziligusa maeneo mengi sana ambayo kwa sasa ni hazina kubwa mno. Chukulia hotuba za Mwalimu kwenye eneo la elimu, Nyerere alikuwa na hotuba nzuri sana ambazo wanafunzi wakikuwa na mawazo hayo tunaweza pata kiongozi bora hapo baadae kuliko sasa ambapo tuna viongozi ambao fikra zao ni kujichotea na kujilia rasilimali za nchi yetu
 
Nimekuambia muulize Kabula, akiamka asubuhi atakuambia. Alafu muulize kama anaijua 'Letter from Birmingham Jail'. Akikijibu ndio, muulize ameijuaje!

I interned at the King Center. I know a whole lot about MLK. The Letter from the Birmingham jail is not a speech. It's a magnificent piece of prose.
 
na kusema "Nia tunayo, nguvu tunazo etc" ali plagiarize wimbo wa a British band iliyo rally behind Winston Churchill wakati wa WW2.

Ebana kila mara unapenda kutaja hiyo bendi..hiyo bendi haina jina? Tutajie basi jina la hiyo bendi na huo wimbo alikotoa hayo maneno....
 
Nimeshasema hakuna siasa/ imani inayotekelezeka na nchi bila kuweza kutekelezeka katika level ya individual.

Huwezi kusema mimi ni mkristo kwa sababu naishi katika nchi au nyumba ya kikristo wakati wewe mwenyewe kama individual huwezi kutekeleza ukristo.Ndiyo maana ujamaa ume fail, hauko practicable.

"Kujitegemea kwa kutegemeana" is an oxymoron, either unajitegemea or unategemeana na wenzako, huwezi kujitegemea and at the same time ukawa unategemea wenzako.Just from the logical definitions.

Hapa nadhani unalazimisha ligi tu. Companero keshakupa maana ya ujamaa na kujitegemea na mimi siku zote ndivyo nilivyoielewa hivyo. Mnaweza kabisa kujitegemea kama taifa na mkaishi kijamaa. Sioni contradiction au conflict yoyote hapo.
 
Hili neno fisadi naona linakuwa overexposed sasa, if anything Nyerere ndiye baba wa ufisadi Tanzania, aliyeulea mpaka ukafika hapa kwa kuwadekeza cronies wake waliokuwa wakiiba sehemu moja anawapeleka nyingine.

Bisha.

ebaa dingi yako alishughulikiwaga nin na mchonga miaka hiyo?..teh teh
maana umemvalia njuga kchz.
sibishi lkn..teh
 
hotuba zake zibakie kwenye historia tu.

Inaonekana hujui maana ya historia. Kwa taarifa yako historia inahusu yaliyopita, yaliyopo na yajayo. History is the study of past, present and the future - this is form 1 definition of history, go and check your notes.

Reading history backwards with Mwalimu

Looking back on the events of the 1960s in the early 1970s, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere at some point said in an interview that he usually looked back on earlier events in the light of what he had learned recently: “If there is something I don’t understand,” he told the interviewer, “I begin to read history backwards.”(Smith 1973: 191) Mwalimu Nyerere understood that history can tell us something about the present; that people learn from the past.

Mwalimu Nyerere was a teacher of biology and history at St Mary’s College in Tabora after completing his studies at Makerere in 1945, with a diploma in education. By this time, he had already acquainted himself with some philosophical works that sharpened ideas and thinking in general. He had already read even the essays of the British economist-philosopher, “John Stuart Mill, on representative government and on the subjugation of women” which had a great influence on him (ibid 47).[1] At Edinburgh University where he graduated in 1952, Mwalimu Nyerere had studied history, economics and philosophy.

Therefore, Mwalimu Nyerere understood very well that “although the past does not change the present does; each generation asks questions of the past, and finds new areas of sympathy as it relives different aspects of the past" (Hill 1978: 15). It was within the spirit which was succinctly summarized by Michael Banton (1977: 3): “…people interpret their own time in the light of their beliefs about the past, and if they misunderstand the past they cannot properly understand the present. In human affairs there is a continuous interrelation between the present and the past….”

ON THE NECESSITY OF HISTORY

If history is important, the basic questions that befuddles one when examining the present are: How do we stand in regard to the past? What are the relations between the past, present and future? What have we actually learnt from the past experience of attempts to build a free and egalitarian society, which is self-reliant? Does the past still stand as a model for the present and the future?

Is there anything like wisdom that was represented by Mwalimu Nyerere, which can be considered to be part of a collective memory of how things were and should be done and therefore ought to be done? In sum what have we learnt from the past in the course of adopting the neo-liberal policies since late 1980s apart from feeling proud or celebrating some arbitrary choice of landmarks such as “unity and togetherness” or what we consider to be the “good” heritage left by the Father of the Nation?

Obviously, although the present is an offshoot of the past, it stands quite far apart from it. It was the problems of development and equity that preoccupied Nyerere throughout his life. The recognition that the country’s majority were rural dwellers made him concentrate on rural development – a term almost unheard of in contemporary political and economic discourse. As a leader, he had respect for Spartan living that took frugality seriously and consciously because he stood for the defence of the poor and the marginalized.

Source: http://pambazuka.org/en/category/features/59502
 
I interned at the King Center. I know a whole lot about MLK. The Letter from the Birmingham jail is not a speech. It's a magnificent piece of prose.

Mzee wa semantics kwani 'speech' sio 'prose'? 'I have a dream' is a 'magnificent piece of prose' too. So the speech on the Arusha Declaration.
 
Mzee wa semantics kwani 'speech' sio 'prose'? 'I have a dream' is a 'magnificent piece of prose' too. So the speech on the Arusha Declaration.

Yes, speech can be prose. But the Letter from the Birmingham jail is not a speech (hotuba) if you define speech like I do. To me speech is the communication or expression of thoughts in spoken words.
 
Hotuba za Mwalimu zikifundishwa mashuleni zitasaidia nini? Hao wote waliopo madarakani sasa walizisoma katika somo la siasa na vilevile kumwona mwenye laivu, na bado waboronga.

Cha muhimu ni kujifunza kufuata sheria na yeyote anayekiuka hata akiwa na cheo sheria itumike.
 
Hotuba za Mwalimu zikifundishwa mashuleni zitasaidia nini? Hao wote waliopo madarakani sasa walizisoma katika somo la siasa na vilevile kumwona mwenye laivu, na bado waboronga.

Cha muhimu ni kujifunza kufuata sheria na yeyote anayekiuka hata akiwa na cheo sheria itumike.

Acha kuongopea umma. Una uhakika gani kuwa JK kasoma Trilogy ya JKN? Zile hotuba zina misingi yote ya kuunda huo mfumo wa kufuata sheria!
 
Acha kuongopea umma. Una uhakika gani kuwa JK kasoma Trilogy ya JKN? Zile hotuba zina misingi yote ya kuunda huo mfumo wa kufuata sheria!

Unaanza ligi. Viongozi wengi wa sasa walipitia masomo ya siasa. Wengine walikwenda kwenye vyuo vya chama. Na wengine walikulazimishwa kwenda Monduli kuchukua mafunzo ya kijeshi ambayo yaliambatana na kumwagiwa siasa. Wengine walipitia JKT ambapo walipata nafasi ya kuwasikiliza makamisaa.

Na ukisikiliza hotuba zao, hawakosi kumnukuu Nyerere (Mwalimu alisema ...).

Kwa bahati mbaya kijana ulienda shule wakati somo la siasa limefutwa mashuleni.
 
Zakumi hujajibu swali:Je, JK amesoma hotuba za JKN hasa zile zinazohusu uchumi?
 
Nilishasema hapa "ujamaa na kujitegemea" is one of the biggest frauds political science ever witnesed.

Any valid political system must be practicable at the individual level, sasa by definition, ujamaa na kujitegemea ni vitu viwili vilivyo mutually exclusive at the individual level.

Ukiwa mjamaa maana yake unaishi katika society ya watu wanaotegemeana, hivyo hujitegemei.

Ukiwa unajitegemea huhitaji ujamaa, kwa maana kujitegemea ni kujitosheleza, sasa kama unajitosheleza ujamaa wa nini? Na hata ukiamua kuwa mjamaa licha ya kuweza kujitosheleza utavua kujitegemea.Mtu hawezi kuwa mjamaa anayejitegemea at the same time, the two are mutually incompatible.

Sasa hiyo ni fraud moja tu ya Nyerere.
Kwa tafsiri iliyo rahisi kabisa ujamaa ni udugu na kujitegemea ni kujijengea uwezo wa kujimudu kimaisha kwa kushirikiana kikamilifu na jamii inayokuzunguka. Hakuna kujitosheleza chini ya jua. Katika hali ya kawaida binadamu tunaishi kwa kutegemeana maanake tunajengeana uwezo, ukizubaa utatumika kujenga uwezo wa wenzako ukaendelea kuwa duni daima dumu! Hii ni kuanzia kwa mtu mmoja mmoja hadi taifa. So whatever u name it! be it a slogan,phylosophy, political system or a doctrine ni practicable. Ujamaa na kujitegemea vinaenda pamoja haviwezi kutenganishwa.
 
Zakumi hujajibu swali:Je, JK amesoma hotuba za JKN hasa zile zinazohusu uchumi?

Mbona ujaacha speciality yako ya kuboronga. Kwanza ulisema hotuba kuhusu misingi yote ya sheria. Sasa unaleta uchumi.

Kwa kifupi tu babu Nyerere uchumi ulimpiga chenga.
 
Back
Top Bottom