Hotuba ya Zitto Bungeni, TBC na Startv hawatairusha Live

Tulimwomba bosi wetu jana ili atuletee TV offisini na amefanya hivyo lakini naona kimya, hii television ya Gamba (TBC) na Star tv hawaonyeshi, je Bunge linaendelea???????

Limeahirishwa mpaka tarehe 13.
 
Kenya wako ahead of us in every front..Uhuru Kenyatta ana akili sana sio sawa na hili pakacha letu hapa....masaa 3 jana anasoma mikorokocho hata haina maana...ovyo kabisa

Hatutaki kuelezwa, na hata tukielezwa hatutaki kusikia, na hata tukisikia hatutaki kujifunza, na hata tukijifunza hatutaki kubadilika na hata tukibadilika hatutaki kufuata mabadiliko. Ngoja vijana tutakuja tuwape somo namna ya kufanya kazi kwa ufanisi siyo hizo porojo kibao za kutaka sifa kwa kufuata itifaki aka pointless, kuwachosha watu bila sababu.
 
Kenya wako ahead of us in every front..Uhuru Kenyatta ana akili sana sio sawa na hili pakacha letu hapa....masaa 3 jana anasoma mikorokocho hata haina maana...ovyo kabisa

UNAJUA VIONGOZI WETU WENGI NI KAMA KASUKU WANAIMBA BADALA YA KUSOMA ,TIZAMA HATA HOTUBA ZA MIKUTANO YAO WANASOMA HATA YALE AMBAYO HAWAJUI WATAYATEKELEZAJE.thats why hata Kikwete kwenye mikutano yake hatoi nafasi ya Maswali.
 
Mwaka jana wakati kambi ya upinzani bungeni inawasilisha budget yake, TBC na Startv walikatisha matangazo ya moja kwa moja, baadaye spika alitoa sababu kuwa kulikuwepo na matatizo ya kiufundi.

Mwaka huu tena matangazo yatakatishwa, Zito atakapoanza kusoma hotuba ya budget ya kambi ya upinzani bungeni.

INASOMWA LINI,SAA NGAPI NA KWA NINI WAKATISHE?KUWA MUWAZI ZAIDI

kama vipi tuwaambie kabisa
 
Tulimwomba bosi wetu jana ili atuletee TV offisini na amefanya hivyo lakini naona kimya, hii television ya Gamba (TBC) na Star tv hawaonyeshi, je Bunge linaendelea???????

Baada ya jana kusomwa bajeti ya serikali kwa mwaka 2011/2012 bunge limeahilishwa hadi jumatatu ya tarehe 13/06/2011.
 
Ni kweli mpendwa Kenya ipo juu,sasa kinachosikitisha tunaburuzwa kuingia jumuia ya EA hapo patamu maana hayo makorokocho yatakuwa mangorongonjo nahisi hata Tz tutaambiwa ni kijiji cha Kenya.Ila lazima siku moja tutawachapa viboko haya madudu wanayofanya yanamwisho
 
Ni kweli mpendwa Kenya ipo juu,sasa kinachosikitisha tunaburuzwa kuingia jumuia ya EA hapo patamu maana hayo makorokocho yatakuwa mangorongonjo nahisi hata Tz tutaambiwa ni kijiji cha Kenya.Ila lazima siku moja tutawachapa viboko haya madudu wanayofanya yanamwisho

Mimi naamini ipo siku moja watarudisha chenji yetu, waacheni waendelee kuiba, kutuibia, kuliibia taifa. But what goes around comes around.
 
mwaka huu hatutakubali. Wakishindwa kutoa live tutawalazimisha warekodi na kuonyesha hotuba hiyo katika kipindi maalum.

tuache kijidanganya, utawalazimisha tbc, star tv n.k kwa kutumia mbinu gani? Kama chama cdm haina tena visingizio vyovyote kuwa hatuna pesa za kuanzisha media haouse yetu weyewe, kwani chama chetu kinapata ruzuku. Kwanini tusianzishe media house yetu ikihusisha tv, rediao na magazeti kwa jili ya kukabili situationa kama hizi.

Tazama hivi sasa gazeti lolote likitaka kuuza lazima liitaje chadema au viongozi wake ktk front page, thats an opportunity. Kama bila kipato chochote wanachama tuliweza kuchanga nakufanikiwa kuingiza wabunge 45 bungeni, tutashindwaje kununua hisa za media house ya chadema?

Kwa kuwa hivi sasa ccm na serikali yake wamecoopt hoja za cdm kuhusu hali ngumu ya masiha katika bajeti, ni wakati muafaka kwa cdm kujipanga upya katika kuibua hoja mpya na kuwa efficient communication channel ya kutumia in the future.

Kinachotakiwa hapa ni leadreship. Ndio maan we have among the highest paid secretary general.
 
Mwaka jana wakati kambi ya upinzani bungeni inawasilisha budget yake, TBC na Startv walikatisha matangazo ya moja kwa moja, baadaye spika alitoa sababu kuwa kulikuwepo na matatizo ya kiufundi.

Mwaka huu tena matangazo yatakatishwa, Zito atakapoanza kusoma hotuba ya budget ya kambi ya upinzani bungeni.

Kwani na Mshana nae ni CCM, hatakiwi kuwa mshabiki wa chama fulani. Tutamgundua tu.:confused2:
 
tuache kijidanganya, utawalazimisha tbc, star tv n.k kwa kutumia mbinu gani?
TBC ni yataifa inatakiwa kufa fair kwenye mambo ya kitaifa, kuna mkutano unafanywa na vyama CCM na matawi yake hata kama unawatu hamsi watuonyesha lakini CHADEMA watu zaid ya 10000 hawaonyeshi na wakionyesha wanaonyeshwa viongozi siyo nyomi ikitokea CCM wakapata Nyomi weeeeeeeeee itarudiwa rudiwa...lakini Startv wana uhuru wakufanya wayapendayo maana ni ya mtu binafisi.
 
nimependa hisia zako ila siamini kama sauti yako inawafikia kiasi kwamba uwalazimishe ukipendacho wewe kama wao hawakitaki.Tuombe isitokee hivo kwani napenda kumsikia live Mbunge wangu Rais mtarajiwa wa nchi hii atakaye kuja kumkomboa mtanganyika
Mara hii Zitto kawa Rais wako Mtarajiwa,kweli U B.wege una kikomo chake,yan ulikuwaga B.wege Mpaka basi ndugu,atleast unaoneka kupata mwanga.
Atagombea kwa chama chenu cha Magamba ama?
 
Hakuna kitu sipendi kama wakulima kupangiwa wauze wapi mazao yake wakati huhangaika mwenyewe kulima mpaka kuvuna halafu linakuja jitu linaitwa mkuuu wa wilaya au mkoa anazuia wasiuze mazao nje ya nchi na ndiko wanaweza kupata bei ya kurudsha gharama zao kilimo. si kazi ya mkulima au mfanyabiashara binafsi kumlisha mwingine kwa uvivu wake au kung'ang'ania mjini bila shughuli ama kwa janga la kitaifa.isipokuwa ni wajibu wa selikali kumlisha mwananchi wake mwenye njaa hivyo serikali haitakiwi kuwazuia kuuza popote watakapo ila kama inaweza iyanunue kwa bei ya soko siyo kuwazuia halafu serikali haiwezi kuyanunua, yawaozee? Mbona nyie wafanyakazi mpatapo mshahara baada ya kazi hamwendi kwa mkuu wa wilaya au mkoa akuzuie kunywa bia au soda ili kuzuia njaa majumbani
Nchi yetu inapelekwa kana kwamba wa tz wote ni vipofu, sawa basi wote ni vipofu kwa mtazamo wa viongozi wetu. Ieleweke kwamba somo la CAUSALITY halijasomwa na 95% ya hao viongozi. matukio tunayoyaona sasa ni majibu au madudu yaliyofanywa siku za nyuma na watu tunaowafahamu. Kuzuia taarifa kuwafikia wananchi ni tendo la mpito tu, hatimaye mwanga utaonekana.
Nilikuwa naenda Holili kibiashara nikaona magari mengi marefu yakisubiri kupakia mahindi anayoanikwa (huenda yalivuna machanga) , magari ni mengi na hakuna anayeshtuka ila tunaambiwa mbeleni kuna njaa. Sina uelewa kama wakuu wa mikoa hii ya Kilimanjaro Arusha na Tanga wanaelewa jambo hili , ingawa mapolisi wanapita na patrol zisizokuwa na sababu (upotevu wa mafuta na muda wa askari). Nawaomba basi wakuu wa wilaya katika eneo hili washughulike ingawa mahindi yaliyovuka ni mengi , wanusuru angalau kiduchu. Hata hili wanadhani wananchi hawalioni?
 
nimependa hisia zako ila siamini kama sauti yako inawafikia kiasi kwamba uwalazimishe ukipendacho wewe kama wao hawakitaki.tuombe isitokee hivo kwani napenda kumsikia live mbunge wangu rais mtarajiwa wa nchi hii atakaye kuja kumkomboa mtanganyika


asante sana mr mark wewe si ndiyo ziheavy mwenyewe? Jifagilie kaka ila hiyo ndoto haitatokea hata kupitia nccr au tlp. Chadema ndiyo kabisa hata usiwaze. Hawakutaki nimeambiwa live
 
Wewe usitudanganye na majina feki, hata wasiporusha hakuna hasara, ila hotuba ya makamanda wa kweli ndo irushwe. Sema una hamu sana ya kusoma huku ukitazamwa na watanzania wote ili ukienda chama na ................... Wawe wamekisikia au.< ninayemsema ni ......................jazeni wenyewe. Mimi nimesahau.
 
Mwaka jana walizima mitambo ili isirushwe live bajeti ya kambi ya upinzani wakasema kunaitilafu mwaka huu watasema umeme wa mgao labda. Tbs na star tv acheni mchezzo mchafuuuu, uwazi na ukweli.

hahahahhaaaaaa tbs.......
Asante madiba
 
Back
Top Bottom