Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Mkuu, umenifurahisha sana. Huwezi kujitamani mwenyewe. Tutakutamani sisi au watakutamani wengine

ha ha ha ha,just chai,any way naomba update za bunge endelea kuzimwaga nipo mitaan naokota makopo huku tandale nipeleke kwa wachina
 
Mkuu, nimefanikiwa kupata nakala ya Kanuni za Rasimu zikiwa kwenye hard Copy. Nafuatilia kupata softy copy. Kuhusu hotuba ya Warioba, ilikuwa ni kwamba niliisaka tangu jana lakini imekuwa adimu. Nadhani kwa vile ilikuwa haijawasilishwa. Hata wabunge hawana nakala za hotuba hii. Ila tunawasiliana na wadau wengine tuweze kuiweka humu

ndo matumizi ya sosho netwek haya,guuud,,,,,
 
Warioba anasema maelezo kuhusu historia ya katiba yetu ipo kwenye rasimu sura ya tatu imeelezewa vema hataweza kuieleza hapa.
 
Sasa anasema rasimu imeanza na utangulizi, na utangulizi ni sehemu ya katiba na ni kioo cha katiba
 
Mkuu, nimefanikiwa kupata nakala ya Kanuni za Rasimu zikiwa kwenye hard Copy. Nafuatilia kupata softy copy. Kuhusu hotuba ya Warioba, ilikuwa ni kwamba niliisaka tangu jana lakini imekuwa adimu. Nadhani kwa vile ilikuwa haijawasilishwa. Hata wabunge hawana nakala za hotuba hii. Ila tunawasiliana na wadau wengine tuweze kuiweka humu

Shukrani mkuu tunaisubiri kwa hamu.!
 
Sasa jana walikataa nini na leo wanakubali nini!!

Usijifanye kiziwi na Kipofu wa Kujilazimisha,inamana haya ya Kuwasilisha Mpaka Warioba atakapomaliza hotuba yake na Kufutwa kwa Ratiba kwa Hao Mamluki wa CCM Kuja kuongelea Muungano ki CCM Jana Yalikuwepo?????
 
Warioba ameweka orodha kibao ya nyarakq walizorumia hadi kuandaa rasimu ya Katiba. Sasa anampongeza Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum kwa kuchaguliwa kwao

nachokiona ni kwamba warioba anakuja na hoja na anaitetea hao wanaompinga ni kama mashabik wa mpira,hawana supporting materialz,
 
Tume imependekeza kua eneo la jamhuri ni eneo lote la Tanganyika na eneo lote la Zanzibar
 
Chabruma tafadhali, ufafanuzi juu ya hoja ilopelekea Jana kukosa maelewano adi kuahirisha shughuli za bunge imekuwaje. bla mabadiliko. juu ya hoja iliyoibuliwa Jana. Leo utaratibu unaendlea vle2 KA ilivotakiwa Jana iwe?!!!!!!

Majibu tafadhaliiii...
Mkuu, jana kulikuwa na hoja mbili

  1. Wabunge walikuwa wanapinga kitendo cha Warioba kuwasilisha Rasimu ya Katiba kabla mwenyekiti hajazindua bunge
  2. wabunge wa upinzani walikuwa wanapinga kitendo cha Warioba kupewa masaa mawili tu kuwasilisha hotuba yake. Wao walikuwa wanataka apewe masaa 4 hadi 5
Baada ya vurugu za jana, Kamati ya Mashauriano iliketi na walikubaliana mambo yafuatayo
  • Warioba ataanza kuwasilisha Rasimu Kama ilivyopangwa na baadaye Rais atakuja kulizindua bunge siku ya Ijumaa. Hivyo kwenye point namba moja hakuna mabadiliko kati ya jana na leo
  • kuhusu suala la muda, ni kwamba Warioba amepewa muda wa kutosha leo. Kwamba kuanzia saa tatu na nusu alipoanza kuhutubia, atawasilisha hadi mlize. Kwamba atawasilisha kuanzia saa tatu hadi saa saba, kama itakuwa hajamaliza, kanuni zitatenguliwa ili kuongeza muda hadi amalize kuwasilisha. Hivyo katika point namba mbili, unaona kuna mabadiliko. Kwamba badala ya masaa mawili, Warioba amepewa muda usio na kikomo
 
Mh Samwel Sitta ambaye ni mwenyekiti wa bunge la katiba alisema kuchaguliwa kwake katika kuwa mwenyekiti bunge hili la katiba ni kumchukua chura na kumtupia kwenye maji.Je kwa yaliyotokea jana ni ameshindwa kuogelea au?
 
Wakuu baada ya vuta nkuvute ya jana yawezekana lisu alichoka sana leo simuoni kabisa bungeni.
 
Katiba ya sasa ina misingi mi4 na rasimu imependekeza kuongezeka misingi mingine mi4
 
Back
Top Bottom