Hotuba Ya Mkapa ndio iliyowakosesha Ushindi CCM

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Alishindwa kuwaeleza wananchi ukweli badala yake aliwaeleza CCM na serekali yake ilivyo saidia wananchi wa South Africa zimbabwe , jinsi gani tumewapa hifadhi hapa sasa mwanachi analilia na maisha yake ya siku zote wewe unajisifia jinsi ulivyomsaidia mtu wa mbali huku mwanachi wako anaishi maisha sawa na mnyama pori ?jamani
 
Vileo anavyokula Mzee Ben Lazima aseme maneno yale! Period!
 
Mkapa apumzike kama mtangulizi wake Mzee Mwinyi aepuke kampeni ndogondogo, kama pensheni si anapata? ya nini kujiabisha? Mbona kina Salim wametulia?
 
Back
Top Bottom