Hostel hapa Dar

Nyati

JF-Expert Member
Mar 6, 2009
2,489
1,814
Wana jamii natafuta hostel ampapo mtu anaweza kukaa kwa muda wa wiki mbili hivi akijitayarisha kwa mitihani. Iwe Meneo ya karibu na mjini kama Sinza, Mwenge, Kinondoni, Mjini kati, Ubungo n.k.

Pawe na nafasi ya kulaza gari na mazingira ya kimasomo. Yaani isiwe hotel ama baa

Natanguliza shukrani za dhati
 
kuna mtu mmoja ana hostel Masaki,rooms zake zina AC,kuna sehemu kubwa tu ya kulaza Magari,unafuliwa mpaka nguo ukitaka,kuna jiko lenye fasilities zote za jikoni kuanzia jiko la umeme,jiko la gas,friji na vitu kama hivyo,bei ni maelewano.niPM nikupatie number zake uongee naye mmaweza elewana!!!!
 
mkuu huko garama mi ninae anatoa huduma zote kama huyo na zile nyingine za ziada utakazopenda pamoja na kufuliwa nguo aina zote bila kuchagua
 
mkuu huko garama mi ninae anatoa huduma zote kama huyo na zile nyingine za ziada utakazopenda pamoja na kufuliwa nguo aina zote bila kuchagua
Zile - kwani zinaeleweka tayari hizo huduma zingine za ziada, ha ha ha ha
 
Nenda Msimbazi centre,kuna vyumba vya range ya kuanzia 10,000 kuna mazingira safi saaaaana kwa kusoma na gari hata ukiwa nazo 5 zitapata ulinzi. Wanatoa kifungua kinywa ambacho gharama yake ni kama elfu 2 nayo iko inclussive. Pia wana zingine ambazo ziko karibu na kanisa la Msimbazi-they are sharing the same compound nazo bei ni hizo hizo.Hizo huduma zingine hamna,ila ni pasafi saana. Kama bei hiyo ni kuwa kwako ni PM nikupe njia mbadala kulingana na budget yako.
Lililo nifurahisha kama ni mke wako au mtoto wako wa kike au wa kiume jua mle ndani hatafanyia mambo yake mabaya iwe kulewa au .........
Nawakilisha.
 
Hizo bei zilizotajwa hapo juu naona ni ghali sana, kuna Hosteli zipo ubungo zinamilikiwa na mmiliki wa KAM Pharmacy Ltd. Nenda kwenye moja ya pharmacy zake hapo Dar es salaam utapata maelezo ya kutosha. Unaweza kwenda Kam Muhimbili Pharmacy au Mwananyamala Hosp. au Pale Magomeni kagera etc.
Nakutakia maandalizi mema ya mtiani.
 
Back
Top Bottom