Hospitali nzuri kwa ajili ya kliniki ya wajawazito

Carina

Senior Member
Jan 4, 2011
190
65
Wana JF naomba kuuliza ni wapi hapa Dar es Salaam hospitali nzuri kwa ajili ya huduma za kliniki kwa wanawake wajawazito ... nilikuwa na mpango wa kwenda Marie Stopes lakini naambiwa sio wazuri .............. msaada plssss
 
kuwa mwangalifu nenda hospital za private huduma bure serikali imeanzisha mpango wa kuboresha afya ya uzazi kwa kina mama na watoto
 
bure ni ghali ndugu yangu. Huduma za bure ni za wasiojiweza. Mambo ya kusubiri mpaka mtoto akwame ndo upelekwe theatre utarudi na kibudu. Tafuta daktari utakayemlipa kwa private bills ili akishindwa kukusaidia efectively umlaumu yeye. Nenda muhimbili antenatal ulizia huduma za ippm utapewa daktari wako ambaye atakupangia siku zake za kaz
 
Annapurna ni mzuri sana, na nakushauri kulingana na matatizo yako.
 
Yap, shafick nimzuri, kuna kapona tumaini hospital, ila sikumbuki ni siku ipi na ipi, na mwenye maria clinic, pale mbuyuni, jina limenitoka. Kuna dr, brender seguira alikuwa premier care namanga clinic, ila kwa sasa nasikia yupo trauma jaribu pia, she is the best of them all! Alinisaidia sana, na wengi niliowapeleka kwake aliwasaidia pia!
 
Gharama je?
 
Shaffick yuko vizuri and he is very friendly kwa wagonjwa wake...
 
Back
Top Bottom