Hospitali gani ya binafsi kwa Dar inafanya vipimo vya uwezo wa kusikia?

Kilamunu

Member
Aug 25, 2021
76
195
Nataka nifanyiwe vipimo vya kiwango Cha uwezo wa kusikia(Hearing capacity). Kutoka mkoa mmoja mpaka mwingine kwa hospital za serikali hasa ukiwa mtumishi wa umma Huwa Ina mlolongo mrefu sana.

Naomba kujua ni hospital ipi naweza kwenda na nkapata huduma hii kwa haraka Ili niendelee na mambo mengine. Uwezo wangu wa kusikia hauko vizuri na vithibitisho vya document vinahitajika. Ntashukuru kama ntapewa na siku huduma hii inapo patikana.

Natanguliza shukrani.
 
Mkuu mkewang anashid hiyo endapo utafanikiw usiache npe connection , nakuomb inbox
 
Aga khan

Ila kama ni document unataka for reference Muhimbili ndo wako considerable sana
 
Nataka nifanyiwe vipimo vya kiwango Cha uwezo wa kusikia(Hearing capacity). Kutoka mkoa mmoja mpaka mwingine kwa hospital za serikali hasa ukiwa mtumishi wa umma Huwa Ina mlolongo mrefu sana.

Naomba kujua ni hospital ipi naweza kwenda na nkapata huduma hii kwa haraka Ili niendelee na mambo mengine. Uwezo wangu wa kusikia hauko vizuri na vithibitisho vya document vinahitajika. Ntashukuru kama ntapewa na siku huduma hii inapo patikana.

Natanguliza shukrani.
Mzena Hospital ila ujue tu Kujieleza vyema na Kiukakamavu pale Getini.
Kwao sawa?
 
Back
Top Bottom