Heh ndo nini sasa! Hatiani??????Hospitali ya ILiyozaliwa hayati Mwalimu Julias kambarage Nyerere sasa ipo hatiani kwa kukuosa maji kwa ajili ya huduma za kilasiku juu ya wagonjwa.Hii ilidhibitishwa hapo jana na vyiombo vya habari
Hospitali ya ILiyozaliwa hayati Mwalimu Julias kambarage Nyerere sasa ipo hatiani kwa kukuosa maji kwa ajili ya huduma za kilasiku juu ya wagonjwa.Hii ilidhibitishwa hapo jana na vyiombo vya habari