Kaliua urambo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 603
- 127
KAMA hujatembelea jengo jipya la biashara la Quality Centre lililopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam, basi tembelea leo kwani unapitwa na mambo mengi.
Kuna hii kitu ya kutisha , jingo la majini
Nilitembelea jingo hilo nikakutana na ubunifu wa hali ya juu. Ndani kuna majini ambayo yanatisha. Wapo waliosimama, aliyekaa, waliofungiwa vyumbani na kuna mait inayonyanyuka na kupiga kelele za kutisha.
Yupo jini la kike ambalo licha ya kuwepo kwa kitanga, halitulii, linapiga kelele huku likielea angani. Ni mambo ya kutisha. Kuna vyumba vine vya sinema. Nisimalize uhondo, nenda katembelee leo, utaburudika na kushangaa mengi.
Nenda sasa kama bado,kama tayari vp ulitishika?