Horrow House QUALITY CENTREN, nenda katembelee leo, utaburudika na kushangaa mengi.

Kaliua urambo

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
603
127
KAMA hujatembelea jengo jipya la biashara la Quality Centre lililopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam, basi tembelea leo kwani unapitwa na mambo mengi.

Kuna hii kitu ya kutisha , jingo la majini

Nilitembelea jingo hilo nikakutana na ubunifu wa hali ya juu. Ndani kuna majini ambayo yanatisha. Wapo waliosimama, aliyekaa, waliofungiwa vyumbani na kuna ‘mait’ inayonyanyuka na kupiga kelele za kutisha.

Yupo ‘jini’ la kike ambalo licha ya kuwepo kwa kitanga, halitulii, linapiga kelele huku likielea angani. Ni mambo ya kutisha. Kuna vyumba vine vya sinema. Nisimalize uhondo, nenda katembelee leo, utaburudika na kushangaa mengi.

Nenda sasa kama bado,kama tayari vp ulitishika?
 
Naona uko kazini kufanya matangazo, lakini ungeitendea haki JF kama nao ungewalipa kutumia jukwaa kufanyia matangazo ya biashara
 
Naona uko kazini kufanya matangazo, lakini ungeitendea haki JF kama nao ungewalipa kutumia jukwaa kufanyia matangazo ya biashara

kizuri kula na nduguyo,wabongo kila kitu mnafikiria maslahi tu watu wengine tunapenda vizuri na wenzetu mfaidi vya halali lakini
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
hilo neno jingo ndio nini na majini yako sehemu gani maana nilishaingia hapo naomba maelezo yanayoeleweka mkuu..:shock:
 
Ivi jini au shetani ni lazma atishe au ni hadithi tu ambazo bila kumtaja sungura hazinogi? Hapo ni kwaajili ya kuwatishia watoto wasiopenda kula au kukojoa kitandani, sio sisi wenye nywele za chini. Usitutishie kinyago cha mmakonde.
 
kuna mwenzio aliaapa tukampeleka mwishowe akatoa manati yake
 
ivi jini au shetani ni lazma atishe au ni hadithi tu ambazo bila kumtaja sungura hazinogi? Hapo ni kwaajili ya kuwatishia watoto wasiopenda kula au kukojoa kitandani, sio sisi wenye nywele za chini. Usitutishie kinyago cha mmakonde.
msamehe!!
 
Back
Top Bottom