CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,915
Horned Melon au Kiwano ni tunda ambalo asili yake hasa ni Africa, ingawa kwa sasa limesambaaa sana Dunia nzima ila mbegu zake walichukua Africa, Horned Melon inalimwa sana Asia, huko Australia na kwingineko ja wana Expoet kupeleka Ulata.
Horned Melon bei yake sio haba, ni tunda ghari kwa wenzetu wa huko Ulata.
Turudi Tanzania, Hili tunda lipo huko mashambani na some time tulikuwa tunayala sana mashambani huko, ni tunda ambalo sio tamu kama sukari ila ni tunda ambalo inaaminika lina tiba haswa, na kupendwa kwake na kuuzwa kwake ni kwa sababu hio ya tiba zake.
Hilo tunda ni Biashara linaweza limwa kibiashara sema ndio kama vile sasa tumejikita na tradinional crops pekee na oua nina uhakika asilimia 99 hatujui kama hili tunda ni biashara kubwa huko Duniani.
South Africa wanalima na ku export haya matunda kwenda Ulaya huko.