joramjason
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 425
- 132
mimi nilishaachanaga na mambo ya tv. jamiiforum tosha
Hujakosea newz za ukweli zipo JF tu. Ila ma moods wawe makini Mabwepande inanjaa ya damu sana sasa
mimi nilishaachanaga na mambo ya tv. jamiiforum tosha
Dawa ni kuwa na jf tv and redio huo ndio utakuwa muarobani wa habari za uhakika hapa Bongo. Mimi nimeamua kuangalia Citizen ya kenya. Wako juu kuliko kituo chochote ukanda wa Afrika mashariki nikitaka habari na matukio ya nyumbani kwa vile hiyo startv haiko kwenye king'amuzi nazama zangu Jf tu.
Wakuu mimi tangu mdogo mpaka sasa sioni kama Itv inakuwa na kuimprove kwa maana ya utoaji bora wa habari zenye urari na Independent kama jina lao.
Tupigeni jaramba wakuu tuchangie jf tv kulalamika hakutufikishi popote.
Huu wako ni unazi na uchochezi mtupu, habari imekuwa balanced kwasababu tu imemuonyesha Mwita Mutabe akimtuhumu Mwigulu Chadema kazi mnayo!! Chama Gongo la mboto DSM
Star TV niliwakubali kitambo sanaa, walianza niteka na habari zao za michezo, ziko deep.
Habari za kawaida vile vile ziko kwa kina, unaelewa kabisa chanzo na unaweza kuona au kutabiri mwisho.
Siasa hawaegemei popote iwe Mabwepande, CDM, Sau, CUF, TLP, NCCR etc. Wanasema ukweli kwa kusikiza pande zote na kuchunguza.
Kweli Star brightens my Day.
Na vituo hivyo ni: Mlimani TV ya jijini Dsm, pamoja na Clouds Tv.Leo nimeangalia taarifa ya habari ya chanel 10 na ya ITV lakini vituo hivyo vyote viwili vimetoa habari ya upande mmoja kwa kumuonyesha katibu wa UVCCM akilaani mauaji yaliyotokea bila kuonyesha upande wa pili.
Lakini kituo cha Star tv pekee ndo kimebalance habari kwa kumuonyesha Mwita Mwikabe wa CHADEMA akimtuhumu Mwigulu Nchemba kutuma watu kuja kufanya fujo na pia mwandishi wa star tv alimpigia Mwigulu kuhusu tuhuma zinazomkabili na akazikanusha.
Tunaomba vituo vingine vya runinga kuiga mfano wa star tv kwa kutoa habari zilizokamilika na kuwa na pande mbili sio kutupatia habari zilizo za upande mmoja.Fuateni maadili ya uandishi wa habari sio mnakuwa kama TBCCCM.
Naona ITV wanataka tuwasuse kama TBC-CCM.
Nilikua mpenzi wa itv kwa habari hii itabidi nijikite star tv huenda nilikua napishana na mambo mengi.!
Huu wako ni unazi na uchochezi mtupu, habari imekuwa balanced kwasababu tu imemuonyesha Mwita Mutabe akimtuhumu Mwigulu Chadema kazi mnayo!!
Chama
Gongo la mboto DSM
Hata mie nikikosa jamii forum nakosa amani hizi TV za kutuwekea kila siku kina Wassira aka ......... nilishaachana nazomimi nilishaachanaga na mambo ya tv. jamiiforum tosha