Hongera Star tv kwa usawa kuhusu mauaji kata ya Ngado Singida

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Leo nimeangalia taarifa ya habari ya chanel 10 na ya ITV lakini vituo hivyo vyote viwili vimetoa habari ya upande mmoja kwa kumuonyesha katibu wa UVCCM akilaani mauaji yaliyotokea bila kuonyesha upande wa pili.

Lakini kituo cha Star tv pekee ndo kimebalance habari kwa kumuonyesha Mwita Mwikabe wa CHADEMA akimtuhumu Mwigulu Nchemba kutuma watu kuja kufanya fujo na pia mwandishi wa star tv alimpigia Mwigulu kuhusu tuhuma zinazomkabili na akazikanusha.

Tunaomba vituo vingine vya runinga kuiga mfano wa star tv kwa kutoa habari zilizokamilika na kuwa na pande mbili sio kutupatia habari zilizo za upande mmoja.Fuateni maadili ya uandishi wa habari sio mnakuwa kama TBCCCM.
 
itv siku hizi sijui nini kimewakumba....na waandishe wenyewe ndo akina semnyoooo

ITV siku hizi imeamua kuwa upande wa serikali na CCM,nimetokea kuichukia sana itv kwa jinsi siku hizi wanavyotoa habari zao kwa kukipendelea chama tawala na kukikandamiza CHADEMA.
 
itv upuuzi mtupu toka walete majitu ya kutetea magamba kwenye malumbano ya hoja hawana mpango,hamia mlimani na star tv walau kwa balance niuz!!!
 
hivi hii tbc siku ccm ikianguka itakuwaje maana wamejisahau,au mnazani ccm itatawala milele,ipo siku mtkimbia hizo ofisi
 
Hapa ndio 2napoona umuhimu wa kua na ty,redio na gazeti vyote vikimilkiwa na chama naomba TUMAINI MAKENE utoe ufafanuzi kuhusu hili elimu ya uraia inahitajika zaid mkuu
 
Leo nimeangalia taarifa ya habari ya chanel 10 na ya ITV lakini vituo hivyo vyote viwili vimetoa habari ya upande mmoja kwa kumuonyesha katibu wa UVCCM akilaani mauaji yaliyotokea bila kuonyesha upande wa pili lakini kituo cha Star tv pekee ndo kimebalance habari kwa kumuonyesha Mwita Mwikabe wa CHADEMA akimtuhumu Mwigulu Nchemba kutuma watu kuja kufanya fujo na pia mwandishi wa star tv alimpigia Mwigulu kuhusu tuhuma zinazomkabili na akazikanusha.Tunaomba vituo vingine vya runinga kuiga mfano wa star tv kwa kutoa habari zilizokamilika na kuwa na pande mbili sio kutupatia habari zilizo za upande mmoja.Fuateni maadili ya uandishi wa habari sio mnakuwa kama TBCCCM.

si unajua kujikosha ndo kunasababisha yote hayo, wapoe tu 2015 yaja
 
Huu wako ni unazi na uchochezi mtupu, habari imekuwa balanced kwasababu tu imemuonyesha Mwita Mutabe akimtuhumu Mwigulu Chadema kazi mnayo!!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Dawa ni kuwa na jf tv and redio huo ndio utakuwa muarobani wa habari za uhakika hapa Bongo. Mimi nimeamua kuangalia Citizen ya kenya. Wako juu kuliko kituo chochote ukanda wa Afrika mashariki nikitaka habari na matukio ya nyumbani kwa vile hiyo startv haiko kwenye king'amuzi nazama zangu Jf tu.

Wakuu mimi tangu mdogo mpaka sasa sioni kama Itv inakuwa na kuimprove kwa maana ya utoaji bora wa habari zenye urari na Independent kama jina lao.

Tupigeni jaramba wakuu tuchangie jf tv kulalamika hakutufikishi popote.
 
mbona mnaishangaa ITV angali mkijua safu yake ni vilaza kama semunyu?TV Star na Mlimani wakuu
 
nyie chadema huwa hamriziki hata kidogo! anzisheni TV yenu ndio mtaji tangaza vizuri lasivo mtabaki kulalama tu!
 
Back
Top Bottom