Hongera Rais kwa usajili wa alama za vidole, ila tambua kwamba haupo salama!

Ile ilikua promotion tu Mzee usiamini kila unachokiona ile line saa hizi ipo kwenye dustbin ikulu ndogo chato

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo unafanya watanzania tuonekane tu IQ ndogo, mtu anaongelea finger print wewe anaongelea line ya simu si ujinga huo!! Issue hapo ni fingerprint, akitupa line, na vidole navyo kwenye system vinajitupa???
 
Safi sana wajanja wa town kwa kuwaonesha hawa washamba ya kuwa hakuna usalama wa 100℅.
Iko hivi duniani muogope Mungu,wazazi wako na teknolojia.
Mwenye line iliyosajiliwa naitaka hata buku tano nitanunua 😀😀😀
Nalog off
 
Mkuu unakosea sana, suala hili halina siasa hapa, suala ni TCRA wananihakikishia nini juu ya usalama wa taarifa zangu wakati wa usajili? Unajua kuwa aarifa zako zikitumiwa vibaya unaweza ukawa implicated kwenye kosa ambalo hujatenda kama masuala ya ujambazi, ugaidi n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusoma
 
Mimi wala sipotezi muda na huo ujinga wao wa fingerprints. Kama wanafungia laini wacha wafungie tu. Ni zoezi la kijinga.
 
Watu wanaandika tu bila kufanya research... Fanyeni research kwanza... Hayo mnayoyawaza sasa yalishafikiriwa hata kabla huu mfumo haujaanza kufanya kazi... Kuna taratibu za kufuata ili upate laini ya pili within the same network.
Hakuna taratibu zozote ndugu. Mimi nilienda Vodashop moja kusajili namba zangu mbili za Voda Wala sikuulizwa kitu chochote
 
Back
Top Bottom