Hongera Rais kwa usajili wa alama za vidole, ila tambua kwamba haupo salama!

mkuu gluckkcom ukilitafakari kwa undani mbona jibu liko peupe sana.
chukua mfano kikundi cha watu fulani wenye nia yao na hiz taarifa, wanaweza KUNUNUA DETAILS ZA WASAJILIWA (hii ikiwemo na hizo finger prints, majina kamili pamoja picha zao halisi).Kumbuka taarifa zoote hizo wewe mwananchi (bila kujali ww ni mkurugezni wa tiss au ni general au mkuu wa polisi au ni jasusi wa idara, taarifa zako hiz zianaachwa kwa ANAYESAJILI LINE. ili ajipatie riziki ya mia 200 mia 200.
sina uhakika kama anaweza akawa anajua umuhimu na unyeti wa taarifa hiz na akawa makini KUTOZIUZA (copy) endapo agent yoyote toka nchi yyote akaamua kumlaghai au KUMPA MPUNGA WA KUTOSHA ili tu awe na copy ya hizo taarifa kwa matumiz yao binafsi kama alivyo eleza mkuu Missile of the Nation hapo juu.

hili zoezi kwel tusilichukulie poa poa unless otherwise hawa vigogo wa nchi wawekewe utaratibu wao wa kusajiliwa ili kuepuka taarifa zao kutumika ku compromise misheni zao na majukumu yao nyeti kwa maslahi ya taifa

nawasilisha kwako Private investigator
 
Like ulizopewa ni za upumbavu na umepewa na wapumbavu wenzako wasio tumia ubongo vizuri kufikiri na kutafakari.

Zoezi hili ni kuwajua nyie was tuma ile pesa,unakonda nini?,mpaka zoezi listishwe?
Taifa linaloyapa makampuni binafsi power za kukusanya Fingerprints za watu wake ni taifa lisilojitambua.

Just Imagine Majenerali wa Jeshi, Mabrigadier, Makanali, Macaptain, Makamishna wa polisi, watu wa vitengo vya usalama wa Taifa Fingerprints zao ziwe kwenye database ya kampuni binafsi za simu za Mabeberu. Kuna hatari kubwa zaidi kwa nchi kuliko hii?

Ngoja Intelligence links za nchi hii zianze kuwa busted moja baada ya nyingine huko nje ya nchi kwa sababu ya zoezi lisilo na kichwa wala miguu kama hili.

Kwa watu wa usalama na wakuu wa majeshi unaweza kufake passport zao wakaenda huko nje wakafanya tukio wakarudi, lakini sasa kama fingerprints zao zikiwa ndani ya mifumo ya watu binafsi, Data mining operations zinaweza kufanyika kirahisi na kugundua chain nzima ya wenzao na hivyo kuwezesha Intelligence rings kuwa busted na hivyo kuhatarisha maisha ya hawa watu.
Mtasababisha majasusi wetu hawa waanze kupigwa vyuma mmoja baada ya mwingine huko Kigali, Kampala, Lilongwe, Nairobi n. k mmoja baada ya mwingine kwa sababu kwa hizi data ni rahisi sana kutumika kuidentify watu na kisha kuanza kutambua ring zao!

Nashauri hili Zoezi lisitishwe au Liandaliwe upya ambapo mamlaka ya serikali peke yake kama nida ndo wawe na power za kuchukua na kutunza Fingerprints na siyo kampuni binsfsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanacho kifanya wale ma-freelancer (wasajiri) wanakwambia weka alama za vidole kisha utaweka zaidi ya mara moja ,akijadi kukwambia mtandao unasumbua rudia tena huku akisajili linw usizo zijua,mwisho anakwambia imekubali kisha unakuwa umesajiri line yako na zawengine kwa taarifa zako

Sent using Jamii Forums mobile app

Hebu fafanua kidogo mkuu.
Hao wengine wanaosajiliwa kwa fingerprints ambazo si zao wanawekewa namba gani ya kitambulisho?!
 
Cha muhimu kwa mtu anayesajiliwa kuwa makini. Ila wale vijana wanaozunguka mtaani ni wajanja sana.
Ukizubaa umeliwa.
Wanaweka line kwenye Simu wanasubiri watu wasajili waingize details.
 
Haupo salama kwasababu umesajili line kwa alama za vidole.

Huku mtaani wale vendors wanaosajili wanatumia data za watu waliojisajili kwa ku-backup kisha wanasajili line nyingine yenye jina la mtu aliyekwisha kamilisha usajili.

Baada ya hapo wanasajili line nyingine kwa data za mtu kisha inauzwa kwa tsh 3000 kwa mtu asiye na kitambulisho.

Hatari iliyopo kutakuwa na mtu mwingine huko Mbinga anatumia line ya jina lako.

Kwa kifupi tu ni kuwa zoezi la usajili limeshakosa usalama. Sio salama tena. Line zinauzwa zilizosajiliwa kwa majina mengine ya watu. Kesho watakamatwa watu kwa makosa ya mtandao bila hatia.

FINGERPRINT NOT SAFE ANY MORE!

======

Maoni ya wadau
Nimeshasema hili jambo ni la kipuuzi sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Private investigator, Nachofahamu mtu haruhusiwi kuwa na laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja bila kuwepo kwa maombi maalumu ya barua. Kuomba kumiliki laini 2 au zaidi kutoka mitandao mmoja. Unaruhusiwa kumiliki laini zaidi ya moja kutoka mitandao tofauti tu. Embu kafanye utafiti upya ndio uweke thread.

Sent using Jamii Forums mobile app
U nazungumzia nchi gani? Nyie ndio huwa mnafanyia kazi mambo ya mtaani! Mbona waziri alishalitolea ufafanuzi hili? Mimi binafsi nina line tatu, za airtel, mbili za voda, na mbili za halotel?!! Unasemaje
 
mkuu gluckkcom ukilitafakari kwa undani mbona jibu liko peupe sana.
chukua mfano kikundi cha watu fulani wenye nia yao na hiz taarifa, wanaweza KUNUNUA DETAILS ZA WASAJILIWA (hii ikiwemo na hizo finger prints, majina kamili pamoja picha zao halisi).Kumbuka taarifa zoote hizo wewe mwananchi (bila kujali ww ni mkurugezni wa tiss au ni general au mkuu wa polisi au ni jasusi wa idara, taarifa zako hiz zianaachwa kwa ANAYESAJILI LINE. ili ajipatie riziki ya mia 200 mia 200.
sina uhakika kama anaweza akawa anajua umuhimu na unyeti wa taarifa hiz na akawa makini KUTOZIUZA (copy) endapo agent yoyote toka nchi yyote akaamua kumlaghai au KUMPA MPUNGA WA KUTOSHA ili tu awe na copy ya hizo taarifa kwa matumiz yao binafsi kama alivyo eleza mkuu Missile of the Nation hapo juu.

hili zoezi kwel tusilichukulie poa poa unless otherwise hawa vigogo wa nchi wawekewe utaratibu wao wa kusajiliwa ili kuepuka taarifa zao kutumika ku compromise misheni zao na majukumu yao nyeti kwa maslahi ya taifa

nawasilisha kwako Private investigator
Ubaya kila jambo linalokosolewa linatazamwa kama kukwamisha juhudi.
Kuna jamaa kafikiri akaona ety wezi wa mtandao ndio wanahaha.
Mihemko imekuwa mingi.
 
Kutawanyatawanya Fingerprints za watu namna hii bila kuwa na uwezo mzuri wa kuziprotect inaweza kupelekea ploriferation ya hizo fingerprints. Ni hatari sana
 
Taifa linaloyapa makampuni binafsi power za kukusanya Fingerprints za watu wake ni taifa lisilojitambua.

Just Imagine Majenerali wa Jeshi, Mabrigadier, Makanali, Macaptain, Makamishna wa polisi, watu wa vitengo vya usalama wa Taifa Fingerprints zao ziwe kwenye database ya kampuni binafsi za simu za Mabeberu. Kuna hatari kubwa zaidi kwa nchi kuliko hii?

Ngoja Intelligence links za nchi hii zianze kuwa busted moja baada ya nyingine huko nje ya nchi kwa sababu ya zoezi lisilo na kichwa wala miguu kama hili.

Kwa watu wa usalama na wakuu wa majeshi unaweza kufake passport zao wakaenda huko nje wakafanya tukio wakarudi, lakini sasa kama fingerprints zao zikiwa ndani ya mifumo ya watu binafsi, Data mining operations zinaweza kufanyika kirahisi na kugundua chain nzima ya wenzao na hivyo kuwezesha Intelligence rings kuwa busted na hivyo kuhatarisha maisha ya hawa watu.
Mtasababisha majasusi wetu hawa waanze kupigwa vyuma mmoja baada ya mwingine huko Kigali, Kampala, Lilongwe, Nairobi n. k mmoja baada ya mwingine kwa sababu kwa hizi data ni rahisi sana kutumika kuidentify watu na kisha kuanza kutambua ring zao!

Nashauri hili Zoezi lisitishwe au Liandaliwe upya ambapo mamlaka ya serikali peke yake kama nida ndo wawe na power za kuchukua na kutunza Fingerprints na siyo kampuni binsfsi
Yaani unahofia taifa kuwapa dhamana makampuni binafsi kufanya usajili wa fingure print kwaajili ya usalama, tena mratibu mkuu wa hili zoezi ni taasisi mbili za serikali yaani NIDA na TCRA?

Unasahau ni kampuni binafsi hizo hizo zinazotoa huduma ya mawasiliano, je huoni hofu ya kiusalama kwamba labda wakiamua vujisha taarifa nyeti za watumiaji wa huduma za mawasiliano???

Labda kabla ya huu uchambuzi wako wa hofu hofu, ni vyema ungejua ni jinsi gani huu mfumo wa usajili kwa njia ya fingure print unavyofanya kazi ili uweze kufanya hiyo risk assessment vizuri tujue udhaifu na ubora wa kimfumo.

Vingenevyo hiyo ni 'fear of unknown'.
 
Usichokijua ni sawa na usiku wa giza,hizo line za buku tatu tatu zilizosajiliwa majina ya watu zinatoka wapi sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta uzi kasema njia inayo fanywa na mawakala hadi kuja kukamilisha usajili wa lain hizo haramu ni kwa njia ya data backup nilicho taka kukijua hiyo backup inafnyikaje? Wakat hizo taarifa zina tumwa online moja kwa moja na % kubwa ya mawakala hao hata ujanja na elimu ya hacking kwao ni zero

Na kuna mtu Nilimsikia #akisema Et! kwamba wanatumia ID za watu walio fariki sawa Data zake wanakua nazo ila je? kipengele cha finger print wanak bypass vp?

Fanya uje na jibu sahihi la jinsi gani hizo lain Zinavyo sajiliwa kw njia hiyo haramu ntakuelewa

Na sio kututisha tu kwamba atupo salama
 
mkuu gluckkcom ukilitafakari kwa undani mbona jibu liko peupe sana.
chukua mfano kikundi cha watu fulani wenye nia yao na hiz taarifa, wanaweza KUNUNUA DETAILS ZA WASAJILIWA (hii ikiwemo na hizo finger prints, majina kamili pamoja picha zao halisi).Kumbuka taarifa zoote hizo wewe mwananchi (bila kujali ww ni mkurugezni wa tiss au ni general au mkuu wa polisi au ni jasusi wa idara, taarifa zako hiz zianaachwa kwa ANAYESAJILI LINE. ili ajipatie riziki ya mia 200 mia 200.
sina uhakika kama anaweza akawa anajua umuhimu na unyeti wa taarifa hiz na akawa makini KUTOZIUZA (copy) endapo agent yoyote toka nchi yyote akaamua kumlaghai au KUMPA MPUNGA WA KUTOSHA ili tu awe na copy ya hizo taarifa kwa matumiz yao binafsi kama alivyo eleza mkuu Missile of the Nation hapo juu.

hili zoezi kwel tusilichukulie poa poa unless otherwise hawa vigogo wa nchi wawekewe utaratibu wao wa kusajiliwa ili kuepuka taarifa zao kutumika ku compromise misheni zao na majukumu yao nyeti kwa maslahi ya taifa

nawasilisha kwako Private investigator
Ngoja Niwafanyie Ushushushu mawakala juu ya hili jambo ili Nijue ukweli wake
 
Back
Top Bottom