Dr Justice
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 797
- 848
hongera sana mkuu wewe na familia yako
Mzee wa rula anasema kwamba anaruhusu watu kumtumia muda wa maongezi tu... pamperz alishaziandaa mapema!
hivi ni suzy au susy majina haya hua yananichanganya sana
Hongera sana mwana familia mwenzetu wa JF mzee wa rula na familia yako!
Natambua kuwa Mungu amewajalia mtoto wa kike jana jumapili saa 6.30 mchana hapo Selian (LMC) Arusha.
Tunawaombea mama na mtoto afya njema,,zaidi tunamuombea mtoto akue ktk maadili mema.Hongera sana!
WL
vipi mambo yanakwendaje na afya pia maana toka ulipoaga kipindi kile hatukuweza kujua ulifanikiwa!pole sana
Mzee wa rula anasema kwamba anaruhusu watu kumtumia muda wa maongezi tu... pamperz alishaziandaa mapema!
khaa kilmasera nimeingia na thread ngapi mimi hapa mpaka wana jf washanchoka,,,, wee ulikimbilia wapi kwani??? Mie alhamdulilah,,,
Mkuu Kilimasera, ni kama :
Anna Makinda, na
Anne Makinda!
ha ha haaa si unajua za kibongobongo?
Jamani tumemtesa vipi?Back to ze topic!
Afu na wewe mbona wamtesa mtoto wa mwanamke mwenzio vile?...hujui kuwa mtoto wa mwenzie na mama yako ni rafiki yako?
Hongera sana! mwanamke bila mwanaume inawezekana lakini sio mwanaume bila mwanamke, umeleta kitu muhimu sasa humu duniani, hongera tena!
Hongera sana Mkuu kwa kumpata mtoto TENA mzuri wa kike, Mungu awape afya ya roho na mwili ili mtoto akue vizuri kabisa. Asante mama WL kwa taarifa, uungekuwa ni wewe umepata ningeandamana!
Hongera sana Mzee wa Rula...Muda si mrefu nitaleta posa Mungu akijaalia....
Hongera sana Mkuu kwa kumpata mtoto TENA mzuri wa kike, Mungu awape afya ya roho na mwili ili mtoto akue vizuri kabisa. Asante mama WL kwa taarifa, uungekuwa ni wewe umepata ningeandamana!
Gene kumbe hutaki mimi nipate jamani,,basi nikitaka kupata ntakuomba ruhusa,,,lol