Wewe una degree ya nini? Hongera saidikwenda shule ni tofauti na kugraduate
Degree hana, kama ambavyo Freeman na JJ Mnyika walivyokuwa hawana japo wenyewe wanadai wamepiga shule
Halafu it wouldnt hurt kumpongeza mwenzetu SY
Una uhakika Mwanakijiji hajapiga shule?
Duh, ama kweli baadhi yetu hatujui kusoma watu. Simjui Mwanakijiji, lakini mchango wake hapa na nyanja zingine kama Cheche, unathibitha usomi uliobobea, usomi wa hali ya juu; usomi usiolingana kamwe na usomi mashaka wa akina "Dk". Emmanuel Nchimbi, "Dk". Mary Nagu, "Dk." Kamala, "Dk." Mutamwega n.k. Nchimbi alipata "Phd" yake huku hajamaliza Ordinary Diploma ya Mzumbe!

Heri yako wewe wa form 4 wengine tumeishia std 7 ya motomoto pale Karume Primary.
Hongera SY
Yes Indeed...!
slucky you,me dont even know how the four corners of a classroom look like.
angalau wenzetu mmeenda hata shule, wengine tuliishia vidudu baada ya kunyimwa bulga! Hongera SY na shemeji
degree ndio nini?
Duh, ama kweli baadhi yetu hatujui kusoma watu. Simjui Mwanakijiji, lakini mchango wake hapa na nyanja zingine kama Cheche, unathibitha usomi uliobobea, usomi wa hali ya juu; usomi usiolingana kamwe na usomi mashaka wa akina "Dk". Emmanuel Nchimbi, "Dk". Mary Nagu, "Dk." Kamala, "Dk." Mutamwega n.k. Nchimbi alipata "Phd" yake huku hajamaliza Ordinary Diploma ya Mzumbe!
usha PACHIA wewe ulikuwa unataka kusema BUGA lakini ukaishia kusema bulga...heheheee hoiiii....bora wewe mwenzetu ulikuwa hukuenda vidudu wenzio hata hiyo vidudu hawaijui maanake
Dk Mzindakaya! Dk Diallo!................
Buga unayojua wewe ni tofauti na Bulga anayojua Mwanakijiji.
Mimi pia nilikosa ile Bulga ile chakula safi inayopikwa swaaafi ikichanganywa na maziwa ya unga.By the way wewe GT hiyo gradu ya said yakub imekupa changamoto gani na hiyo elimu yako ya Magumashi???
Mwee!!
Sikuwa najua shule inatisha namna hii.
&8%$#@*&^%$#@% Grrr Grr Grrr Grr!
Watu maneno yanawatoka kama vile PhD ya SY imevaa ngozi ya Nungunungu?
Inabidi niuhagi kwa sana Huu mkaratasi wangu wa mchundo,kwani ndo shule ya juu kabisa nilowahi kukanyagia.
hahahahaaaaa.Mie si muhimu...muhim yuyo mboewe rais mtarajiwa
ebwana hulali?
au ndio katika jutafuta wale watu ambao ni vurnable?
mimi siongopi niliishia for 4 tena ya Kindondoni kwa mwalimu Sharriff
Mwanakijiji ni nani hasa? manake hapa naona watu wanajishaua tu...
Mwanakijiji ni nani hasa? manake hapa naona watu wanajishaua tu...
Heri yako wewe wa form 4 wengine tumeishia std 7 ya motomoto pale Karume Primary.
Hongera SY
OOhoya tuliza boli... Jibu swali, MMKJJ ni nani hasa hapa JF...? Si ana ukumbi wake na kiredio chake huko kwenye kiwanja chake?Hata wewe unajishaua vilevile......