Hongera mwenzetu SAIDI YAKUBU

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Wiki hii imekuwa ya Barka kwa wana JF...kwanza MAX kututhibitishia kama yeye ni dume la mbegu kwa kupata mtoto....halafu hii ya Mwana JF mwenzetu ambaye alikuwa mwandishi wa habari mwandimizi wa BBC LONDON bwana SAIDI YAKUBU aka SY amemaliza kupiga buku na Ushahidi wa Graduation yake huu hapa:

nondoz1.jpg

SY akiwa na wife first lady wake Bi Khadija

Haya ndio mambo tunayotaka

Husband graduate wife graduate, wife akienda kufanya Masters, Husband unafanya PHD

Hii ni changamoto kwa wana JF wafuatao:

MWANAKIJIJI

FREEMAN MBOWE

JJ MNYIKA

ambao pia ni mahiri kwa uchangiaji wao humu lakini inaonekana kuwa wakitop up na shule bas mambo yatakuwa mswano
 
Una uhakika Mwanakijiji hajapiga shule?
 
Una uhakika Mwanakijiji hajapiga shule?
kwenda shule ni tofauti na kugraduate

Degree hana, kama ambavyo Freeman na JJ Mnyika walivyokuwa hawana japo wenyewe wanadai wamepiga shule

Halafu it wouldnt hurt kumpongeza mwenzetu SY
 
Wiki hii imekuwa ya Barka kwa wana JF...kwanza MAX kututhibitishia kama yeye ni dume la mbegu kwa kupata mtoto....halafu hii ya Mwana JF mwenzetu ambaye alikuwa mwandishi wa habari mwandimizi wa BBC LONDON bwana SAIDI YAKUBU aka SY amemaliza kupiga buku na Ushahidi wa Graduation yake huu hapa:

nondoz1.jpg

SY akiwa na wife first lady wake Bi Khadija

Haya ndio mambo tunayotaka

Husband graduate wife graduate, wife akienda kufanya Masters, Husband unafanya PHD

Hii ni changamoto kwa wana JF wafuatao:

MWANAKIJIJI

FREEMAN MBOWE

JJ MNYIKA

ambao pia ni mahiri kwa uchangiaji wao humu lakini inaonekana kuwa wakitop up na shule bas mambo yatakuwa mswano

Wamepenza kweli Hongera sana SY na Mrs wako
 
kwenda shule ni tofauti na kugraduate

Degree hana, kama ambavyo Freeman na JJ Mnyika walivyokuwa hawana japo wenyewe wanadai wamepiga shule

Halafu it wouldnt hurt kumpongeza mwenzetu SY

Una uhakika na ushahidi unao kuwa hana? Kwanza unamjua huyu mtu anayejiita Mwanakijiji?
 
wiki hii imekuwa ya barka kwa wana jf...kwanza max kututhibitishia kama yeye ni dume la mbegu kwa kupata mtoto....halafu hii ya mwana jf mwenzetu ambaye alikuwa mwandishi wa habari mwandimizi wa bbc london bwana saidi yakubu aka sy amemaliza kupiga buku na ushahidi wa graduation yake huu hapa:

nondoz1.jpg

sy akiwa na wife first lady wake bi khadija

haya ndio mambo tunayotaka

husband graduate wife graduate, wife akienda kufanya masters, husband unafanya phd

hii ni changamoto kwa wana jf wafuatao:

Mwanakijiji

freeman mbowe

jj mnyika

ambao pia ni mahiri kwa uchangiaji wao humu lakini inaonekana kuwa wakitop up na shule bas mambo yatakuwa mswano

nadhani hii zaidi ni changamoto na vyeti vyako vya.....
 
....malizia tujue naye kama ni kanyaboya,ila nina uhakika ngabu hajakanyaga college maishani mwake...its time ngabu maana election imekwisha na Palin hakuhitaji tena,unaweza ukaanza kwa kujipatia walao GED then uta upgrade community college,ukitaka msaada just PM ...aiiiight ngabu!
 
ahahahahahahaaaa.....watu mnachekesha sana humu. eti ngabu hajakanyaga college maishani mwake.....sasa koba unashauri nikienda community college nisomee nini?
 
angalau wenzetu mmeenda hata shule, wengine tuliishia vidudu baada ya kunyimwa bulga! Hongera SY na shemeji
 
Inaelekea watu hawamjui Mwanakijiji , asingekuwa ameona inside of a lecture room asingeweza kutoa mchango analytical kama anavyofanya; hao ambao hawana shahada wanaeleweka tu pale unaposoma threads zao kwani hazina flow!! The villager is properly schooled.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom