Hongera kwa viongozi wa Kisarawe

Emmanuel Robinson

JF-Expert Member
May 29, 2013
1,505
1,139
Nachukua fursa kuwapongeza viongozi wa kisarawe kwa kazi zao nzuri. Leo nilifanikiwa kuhudhuria kongamano la wajasiriamali mali liloratibiwa na viongozi wa wilaya na NEEC .

Katika kongamano hilo la siku mbili leo na kesho mgeni rasmi alikuwa waziri jafo. Nimesikiliza semina zilizotolewa hakika inaonyesha kwamba wamejipanga sana.

Ofisi ya mkurugenzi wametoa asilimia mia ya mikopo kwa makundi maalum hakika hili linatia moyo. Nimeangalia biashara za wale wajasiriamali zina ubora na inaonekana wameanza kuamka siyo kisarawe ile iliyozoeleka.

Mimi nimefanikiwa kununua asali nimefika nyumbaninimeitumia iko vizuri sana. Kesho tena wamesema wapo kama uko karibu pitia keho uone haya ninayosema hapa.
 

Attachments

  • 20190620_132530.jpg
    20190620_132530.jpg
    86.8 KB · Views: 14
  • 20190620_122848.jpg
    20190620_122848.jpg
    116.3 KB · Views: 15
  • 20190620_121647.jpg
    20190620_121647.jpg
    102.1 KB · Views: 14
  • 20190620_121644.jpg
    20190620_121644.jpg
    115.9 KB · Views: 15
  • 20190620_121639.jpg
    20190620_121639.jpg
    107.6 KB · Views: 14
  • 20190620_121636.jpg
    20190620_121636.jpg
    169.9 KB · Views: 14
  • 20190620_121631.jpg
    20190620_121631.jpg
    145.6 KB · Views: 13
  • 20190620_121602.jpg
    20190620_121602.jpg
    77.3 KB · Views: 13
  • 20190620_121540.jpg
    20190620_121540.jpg
    106.2 KB · Views: 13
  • 20190620_121535_001.jpg
    20190620_121535_001.jpg
    120.2 KB · Views: 14
  • 20190620_113341.jpg
    20190620_113341.jpg
    86.6 KB · Views: 14
Naona sahv kisarawe ngoma zitakuwa zimepungua...
Maana huko kila siku mtu alikuwa yuko ngomani

Ova
 
Back
Top Bottom