Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

Tatizo huwa ni uwakilishi kama mbunge analala utategemea nini?
Mbunge akiwa active kwenye Jimbo lake mambo kama hayo serikali inatekeleza.
Mwisho hongereni
 
Sugu alituahidi atadeal na suala la barabara na sasa takribani barabara saba hapa jjn mbeya ziko katika matengeneneza katika kiwango cha rami. Mpesya(mbunge wa zamani wa ccm) ilikuwa ni kitendawili kwake.

Mkuu fugees, pamoja na ujenzi wa barabara za kiwango cha rami katika jiji la Mbeya, barabara karibu zote katika jiji hili ziligeuka kuwa mahandaki ya kutisha. Lakini baada ya jiji la Mbeya kujipatia rais wa jiji (Sugu) barabara zote zimeshindiliwa kwa changalawe nzito, spea za spring za magari zimekosa soko katika maduka ya Mbeya.
 
Sugu moto chini aaaaaaaa
Natamani nikutane na sugu nimkumbushe mistri yake ya zamani,,, 1. Dini na siasa sasa ni kama biashara vipi baada ya kesho?
2. Wanasiasa wa bongo wengi waongo, wananipa hasira utadhani nina nyumba ubungo na
3. Hatutaki wabunge wenye vipara tunataka wabunge wenye busara.
Ningemuona ningemshauri asitoke nje ya hizo kauli zake kwenye maisha yake yote ya kibunge.
 
Na huu ni mwanzo tu! Najua watu flani hasa yule looser aliyepewa u-DC baada ya Wanambeya kum-bulshit, atakuwa anajickia hovyo sana!
 
Dar es Salaam zinjengwa hayuko Sugu, Dodoma zinajengwa hayuko Sugu, Arusha .................
Ni mpango wa WB kuboresha miji mtoa uzi usidanganyike. Pia lazima ujenzi uwemo kwenye bajeti ya mwaka wafedha na sio vinginevyo. Sugu anatetea haki za wasanii.
 
Ughonile!!!! Utwambombo!!! Mbeya inayowakilishwa na Sugu sio ile ya miaka miwili iliyopita. Pale Mbeya kuna mhafidhina mmoja anaitwa Athanas Kapunga mkabila sana na mpika Majungu ni Katibu Mwenezi wa CCM na ni ndie Meya wa Jiji. Kazi yake kubwa ni kumpiga vita Mkurugenzi wa Jiji kwa sababu hana ubaguzi kwa Wapinzani. Mbeya ya sasa imeboreshwa sana walau ina hadhi ya kuitwa Jiji. Moto wa Sugu na madiwani wa Upinzani wamefanya kazi kubwa sana. Ndagha fijo Malafyale Sugu!!
 
hongera mh.sugu, tunaomba umshauri silinde aje huku tunduma maana barabara zina hali mbaya sana hasa ya katikati ya mji inamahandaki badala ya mashimo.!
 
Dar es Salaam zinjengwa hayuko Sugu, Dodoma zinajengwa hayuko Sugu, Arusha .................
Ni mpango wa WB kuboresha miji mtoa uzi usidanganyike. Pia lazima ujenzi uwemo kwenye bajeti ya mwaka wafedha na sio vinginevyo. Sugu anatetea haki za wasanii.

huko utajua wewe! Sisi tupo na Mbeya yetu na Mbunge Wetu, over! Na kama bajeti inakuwepo kila mwaka mbona kipindi chote cha Mpesya (looser) hatukuona hii mambo?
 
Dar es Salaam zinjengwa hayuko Sugu, Dodoma zinajengwa hayuko Sugu, Arusha .................
Ni mpango wa WB kuboresha miji mtoa uzi usidanganyike. Pia lazima ujenzi uwemo kwenye bajeti ya mwaka wafedha na sio vinginevyo. Sugu anatetea haki za wasanii.

acha nyege za siasa na andika vizar sio unaandika pumba.
 
Back
Top Bottom