Hongera e.lowassa kwa kuozesha

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,152
kila lenye baya alikosi kuwa na jema'
hongera EL kwa kuozesha kimwana cha pale Temeke hospital
tunashukuru kwa uvumilivu wako kwa kumkabidhi kijana mtoto
wako ...natumaini aikuangaliwa shekeli kukubali...na natumaini
kijana hatakuwa katika walimwengu wa ufisadi,,,la asha atafwata nyayo
za mkwewe kwa kula chake mapema...hongera tena mzee
SIFA KWA YESU
 
Back
Top Bottom