Honest replies please!

Nachukua fedha halafu na hamia "suburbs za Nairobi" na mupenzi wangu where we will live happily ever after until death do us apart. End of story. Reminds me of the movie indecent propasal where a millionare offers a million dollars to spend one night with someone wife.
 
itategemea mapenz y2 yakoje,km ni motomoto ctapokea!ela k2 gan bwana!sabu pesa ntakuja siku kuzipata kwa juhud binafsi lakin mapenz ya m2 hayajirudii.if u think critically money iz nothing,but km ure lazy u will think stereotype so akil kichwan mwako.
 
Ntamtaarifu story nzima .. akikubali
Nachukua hizo fedha tunawapa
World Vision .. au SPCA ...

Halafu hatuachani ..
 
hapo hata kama unampenda vipi demu wako lazima uingie mtegoni na kama ni mie hapo tunacheza dili na mpenzi wangu then tutakutana baadae mbele ya safari tuendelee kula mpunga
 
Mumeambiwa "honest" bana! sasa nyinyi mnaleta cheating ndani ya cheating. Wabongo ndivyo mlivyo
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Ungeweka basi kaugumu fulani kwenye swali, hapo mbona jibu liko so obvious?
 
Mwanamke mwenyewe mbaya nimemvumilia tu miaka yote Hata ukimwangalia hatamaniki.Naomba hiyo pesa ni sepe babu.Ahh kumbe hela ya maneno nampenda mke wangu.
 
hebu taja jibu lako best.
Mi kwanza kwa vile sina mpenzi ningekubali.
Ningekua na mpenzi ningekubali vile vile,
ila ningejaribu maujanja ya kumkataa kwa muda,
nikisha pewa hela naendelea nae.
Kama hayo maujanja yangeshindikana ningemwacha natafuta mpenzi mpya.
If possible huyo huyo alie nipa M 5000. (if oppossite sex of course)
 
ahsante kwa kuwa honest. Kweli pesa inarun dunia.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Kweli? Kwa nini sasa utakataa?
Mbona mapenzi ni kitu so uncertain...
Unaweza kukataa leo na kesho ukajikuta humpendi.

taz, kama nipo na mpenzi kipindi hicho na tuna migogoro isiyoisha jibu ni ndio nitakubali. Kama tupo kwenye wakati mzuri na ninampenda mpaka kumoyo basi thamani yake kwangu haiwezi kuwa replaced na kitu chochote.
 
Nimekuelewa, how lucky you are to be able to love like that!
Kwangu mimi hata tukiwa at the pic of our relation and love
bado kuna vitu ambavyo vina kuja before that particular feeling
na hizo pesa wametaja hapo zinaweza kunisaidia kufulfil most of them
So nitaondoka moyo unauma but nitaondoka...
As I said, later naweza kumtafuta tena ili tusaidiane (if possible)
 
kama mimi ni mpenzi wako ukinitafuta tena sitokubali maana najua ikitokea ofa nyingine utanikimbia. Umeshafikiria faida utayopata kwa kukataa na hasara utakayopata kwa kukubali?
 
  • Thanks
Reactions: Taz
kama mimi ni mpenzi wako ukinitafuta tena sitokubali maana najua ikitokea ofa nyingine utanikimbia. Umeshafikiria faida utayopata kwa kukataa na hasara utakayopata kwa kukubali?
Unajua maisha sio mapenzi tu. Imagine tupendane halafu kila siku nakosa raha
sababu nahisi sijaweza kukamilisha lengo fulani za maisha yangu. as an individual or as a couple
Nakupenda, unanipenda ila unaona kabisa kua something is missing and I am not happy
halafu ofa kama hiyo ya kunipa hela zitakazo nisaidia kukamilisha lengo zangu/zetu linakuja
kweli utashindwa kunielewa, wewe kama mpenzi wangu? you know me, you know what is best for me
Naamini nikiwa happier with my situation, I will have more time and devotion to care about ours as a couple.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom