Honest replies please!

fazaa

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,984
1,026
Just speak your mind; Kama umepewa 5000 Million shilings cash to end the relationship with whoever you are dating, hata kama mapenzi yenu ni ya miaka 5 au zaidi.....will you accept the offer.
 
Inategemea wewe kwako mapenzi nini, kama mapenzi ni PESA, obvious unatapokea lakini kama ni inner feelings embeded at the bottom of your heart plus true love nafikiri huwezi kupokea.

Pia kuongezea, ukiendekeza pesa utaachana na wapenzi kila siku. Maana kwa mdada anayependa pesa, kila mwanaume anayepanda dau, yeye atamkubali na akina kaka wale wanaopendwa kulelewa, hali itakuwa hivyo hivyo!!!

Si busara kuendekeza sana pesa bana kwenye mahusiano. Endekeza pesa kwa mambo mengine.
 
is hard,maana mimi nikipenda napenda.ila kwa mtaji huo ni temptation ya hali ya juu.na itakuwa inategemea relationship yenu ikoje.mapenzi hayanunuliki
 
Hata mtoto mchanga hafeli huu mtihani.......
Ni rahisi sana kumrudisha huyo uliye muacha kwa hizo hizo pesa,.......

Naimani hata mchumba wangu ata ridhia tucheze hilo game,....tuachane then mbele ya
barabara tukutane tuendelee kufurahia.

Umeota lini hii ndoto?
 
Just speak your mind; Kama umepewa 5000 Million shilings cash to end the relationship with whoever you are dating, hata kama mapenzi yenu ni ya miaka 5 au zaidi.....will you accept the offer.

Nasonga mbele, nadaka mkwanja!
 
mi hata 5mil natembea, assume unakataa huo mkwanja on the way anakusalit huon km utajutia maamuz yako. Binadam haaminik 100 pasent lolote laweza tokea, kamata pesa kaanze uhusiano mwingine
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Just speak your mind; Kama umepewa 5000 Million shilings cash to end the relationship with whoever you are dating, hata kama mapenzi yenu ni ya miaka 5 au zaidi.....will you accept the offer.
read my signature!!!
 
Just speak your mind; Kama umepewa 5000 Million shilings cash to end the relationship with whoever you are dating, hata kama mapenzi yenu ni ya miaka 5 au zaidi.....will you accept the offer.

can you clarify please! because ending the relationship could be very wide. even killing your spouse could mean " ending the relationship"
 
Never betray the one you love for money...
sasa Chriss,hebu tuchukulie unakataa hiyo ngawila,kisha we na mchuchu wako mnaendelea na maisha ya kudunduliza,mbele ya safari litokee pedeshee laukweli limnyakue huyo mpendwa wako (which is very possible na tumeyaona),utasema nini sasa hapo? nijibu Chriss hivi mapenzi (hasa ya dot.com) yana muamana?
 
Inategemea wewe kwako mapenzi nini, kama mapenzi ni PESA, obvious unatapokea lakini kama ni inner feelings embeded at the bottom of your heart plus true love nafikiri huwezi kupokea.

Pia kuongezea, ukiendekeza pesa utaachana na wapenzi kila siku. Maana kwa mdada anayependa pesa, kila mwanaume anayepanda dau, yeye atamkubali na akina kaka wale wanaopendwa kulelewa, hali itakuwa hivyo hivyo!!!

Si busara kuendekeza sana pesa bana kwenye mahusiano. Endekeza pesa kwa mambo mengine.

Hapa ni kuwa unapewa mshiko si kuwa uwe na mwengine au huyo nayekupa mshiko ndo awe mpenzi wako, no, unapewa mshiko unapiga chini unaendelea na maisha.

Bongo mapenzi hayana inner feelings siku hzi, tunaibiana tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom