Karatasi la ukutaniWallpapers kwa kiswahili safi inatafsiriwa vipi?
Karatasi hili la ukutani enzi zake lingekuwa limeshatupwa kule... kwenye kustahiki vichupi
Makaratasi kwa uwingi na karatasi kwa umoja....^^ Na sio makaratasi ya ukutani?
Makaratasi kwa uwingi na karatasi kwa umoja.