Holiday Inn Helicopter Kuna nini?

Sipati picha mijitu litoka ofisini mwao na kuanza kushangaaaaa haha hahhaha:becky::becky::becky::becky::becky:

...kama nawaona hivi jamaa zangu wa maeneo hayo walivyoshangaa shangaa! Mkulu wetu wa Magogoni angeshauriwa pia kuvuta kitu kama hicho kwa ajili ya safari za kwenda Airport na Chalinze ili kutupunguzia sisi wengine adha ya foleni wakati akipita!
 
Duh!! Kulaleki walahi....wengine kila siku tunaona haya mahedikopta yakitua kwenye mapaa ya mahospitali na majengo mengine kama mahabusu, vituo vya polisi, n.k......hakika sikutegemea hili la hedikopta kutua kwenye paa la Holiday Inn kuwa newsworthy lakini kama haijawahi kutokea kabisa nchini basi sasa nimeelewa kwa nini limekuwa newsworthy...
 
kwa raha zake, mambo ya foleni dar kwa nini, kutoka airport mpaka holiday inn itamchukua mtu masaa 2, so kwa helicopta ni dk15 tu kama una hela yako. ha ha ha ha:confused2:
 
Duh!! Kulaleki walahi....wengine kila siku tunaona haya mahedikopta yakitua kwenye mapaa ya mahospitali na majengo mengine kama mahabusu, vituo vya polisi, n.k......hakika sikutegemea hili la hedikopta kutua kwenye paa la Holiday Inn kuwa newsworthy lakini kama haijawahi kutokea kabisa nchini basi sasa nimeelewa kwa nini limekuwa newsworthy...

........NN bana usifananishe huko ulipo na bongo.....bongo hivi vitu tukiona lazima tushangae na wakati huko USA helicopter ni usafiri unaotumiwa mara nyingi tu kama gari.
 
Wamefafanua ... ni majaribio ya kutaka kurahisisha usafiri kutoka sehemu mbalimbali kwa wateja / wageni wao (hasa kutoka airport) kubeat ze trafric jam!!
 
Duh!! Kulaleki walahi....wengine kila siku tunaona haya mahedikopta yakitua kwenye mapaa ya mahospitali na majengo mengine kama mahabusu, vituo vya polisi, n.k......hakika sikutegemea hili la hedikopta kutua kwenye paa la Holiday Inn kuwa newsworthy lakini kama haijawahi kutokea kabisa nchini basi sasa nimeelewa kwa nini limekuwa newsworthy...

Aaaaaaah NN umeniangusha....... Nilijua utakuja sema umeshapanda kabisa kutoka paa moja hadi jengine ukatusaidia experience sie tunaosubiri dar by night tour :)
 
Hizi taxi za angani wanaotaka kuanzisha kukwepa foleni zitatuongezea foleni na ajali sie maskini kwani nina huakika madereva wengi watakuwa wana zishangaa zikitua na hii itawafanya kuto kuwa makini barabarani lol.
 
Ni watu na pesa yao, Jana jioni Holiday palikuwa hapatoshi, hiyo helicopter ilikuja na mtoto wa mfalume to Omani, na alikuwa akitoka Ngorongoro. Palikuwa hapatoshi kwani makahaba walikuwa wanawania kuingia licha ya ulinzi mkali kuwekwa hotelini pia na Kempisky (Kilimanjaro) hotel nayo ilikuwa imejaa watu wa msafara wa mwarabu ambaye aliingia hotelini hapo kwa vimulimuli toka Holiday.
 
Kama ni ufisadi basi dawa yao ni hii hapa
 
Attachments

  • who-won-cold-war-1.jpg
    who-won-cold-war-1.jpg
    14.7 KB · Views: 31
166dber.jpg

oi8yg6.jpg

Ndo ilivyokuwa:becky::becky::becky:

Angalieni kwa makini hiyo picha kuna taa nyekundu mithili ya zinazowekwa air port kuongozea ndege... ukipita pale usiku utaona taa hizo zinawaka acheni ushamba jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii inaonyesha wengi wetu jambo hili limetulia muda wetu wa bure kwa ufupi hedikopta ya holiday inn sijui ya ccm/chadema haikutua kwa bahati mbaya imetua katika sehemu inayotakiwa!!!!
 
Back
Top Bottom