Hoja za Udini TUZIKATE KTK SIASA

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
Utasikia mfumo wa kikristo au wa Kiislamu hapa na pale katika siasa za Tanzania. Ninaandika kuwakumbusha kuwa tukae mstari wa mbele kupinga hoja za kidini ktk mijadala yoyote ya kitaifa isipokuwa ktk masuala ya dini zetu makanisani na miskitini.

Tujiulize mungu ni mmoja, dini zipo mbalimbali na nyingi. kwani mungu ni hakujua hilo hadi akaruhusu Tanzania kuwe na dini nyingi??? nani anajua kusudi la mungu??? isufikiri kwa kuwa mkristo tu au mwislamu tu wa jina ndo utafika kunako mbingu, usifikirie eti unajua kusudi la mungu tena unataka kumsahihisha kwa kuwatoa wakristo au waislamu ktk nchi ya Tanzania. Hapana. Tujifunze japo hili moja alotufundisha mwalimu- kukataa udini na ukabila kwa nguvu zote

Natoa wito WanaJF tuwe makini na viongozi ktk kupinga dini na siasa.
 
Back
Top Bottom