Hofu ya kufilisika yamtanda Lowassa, adaiwa kushindwa kulipia kodi ya Pango PPF Tower

WanaJF,

Wanasema waswahili kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Huu msemo umejidhihirisha kwa Lowassa ambae amekuwa akitajwa kuwa ni moja ya watu matajiri Tanzania.

Utajiri huo wa Lowassa ambao wengi wanaamini ni wa magendo na dili za kuibia wananchi wa Tanzania, umeanza kupata mabalaa na kuhofiwa kupotea kabisa kabla ya sherehe za pasaka!

Wengi mnafahamu kuwa kampuni ya Alpha Dry Cleaners inamilikiwa na Lowassa na moja ya ofisi zao ipo PPF Tower kwenye basement. Kampuni hii ndio imekuwa chanzo kikuu cha mapato kwa Lowassa tangu atimuliwe kwenye nafasi ya uwaziri mkuu kwa kashfa ya ufisadi wa RICHMOND.

Taarifa zinasema kampuni hiyo ambayo sasa ndio uti wa mgongo wa Lowassa, imeanza kushindwa kujiendesha; Kwanza wafanyakazi wake hawajapata mshahara kwa miezi miwili hadi sasa na pili, kodi ya pango ambayo ilikwisha mwezi novemba, hadi leo haijalipwa kinyume kabisa na mkataba wa upangishaji. Hali hii imepelekea kampuni hiyo kupewa notisi ya siku 30 kufunga virago na kutoka kwenye jengo la PPF.

Aidha, taarifa zinasema kuwa mtikisiko huo wa biashara hiyo ya Lowassa, pamoja na mambo mengine, umetokana na kuchotwa kwa pesa nyingi ya kampuni hiyo na kutumika kwenye kugharamia uchaguzi wa urais...Maamuzi ambayo wafanyakazi wa kampuni na wadau wengine wanaamini yamehatarisha uhai wa kampuni hiyo kongwe inayojihusisha na ufuaji hapa nchini.

My take,

Kwanza nianze kwa kumpa pole mzee Lowassa kwa matatizo, lakini pia niseme: Huu ndio wakati wa kupima urafiki wa Mbowe na Lowassa. Natarajia kuona Mbowe anatumia sehemu ya lile fungu alilotorosha Uswizi na China (Pesa ya kuuza chama) kumsaidia Lowassa kulipa kodi ya pango na malimbikizo yote kwa maana notisi imetolea ya siku 30 tu.

Mtoa mada nakuonea huruma huyo uliyemgusa kuanzia mwaka jana ni Mungu mtu hivyo jiandae kutukanwa. Ukitaka kuupamba huu ukurasa msifie Lowasa kashifu JPM ama wa Msoga utapata like nyingi. Watu hawajadili mada wanatukana ili mradi anayejadiliwa si wa upande anaoupenda. MUNGU IBARIKI TANZANIA MAANA HATA TULIOWAJUA KUWA MA GREAT THINKERS WAMEKUWA NYUMBU SABABU YA MAPENZI YA KICHAMA SIYO TENA MAMA TANZANIA. LUCK DUBE ALISEMA "There is no truth in the world. Lies become true and truth becomes lies.
 
WanaJF,

Wanasema waswahili kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Huu msemo umejidhihirisha kwa Lowassa ambae amekuwa akitajwa kuwa ni moja ya watu matajiri Tanzania.

Utajiri huo wa Lowassa ambao wengi wanaamini ni wa magendo na dili za kuibia wananchi wa Tanzania, umeanza kupata mabalaa na kuhofiwa kupotea kabisa kabla ya sherehe za pasaka!

Wengi mnafahamu kuwa kampuni ya Alpha Dry Cleaners inamilikiwa na Lowassa na moja ya ofisi zao ipo PPF Tower kwenye basement. Kampuni hii ndio imekuwa chanzo kikuu cha mapato kwa Lowassa tangu atimuliwe kwenye nafasi ya uwaziri mkuu kwa kashfa ya ufisadi wa RICHMOND.

Taarifa zinasema kampuni hiyo ambayo sasa ndio uti wa mgongo wa Lowassa, imeanza kushindwa kujiendesha; Kwanza wafanyakazi wake hawajapata mshahara kwa miezi miwili hadi sasa na pili, kodi ya pango ambayo ilikwisha mwezi novemba, hadi leo haijalipwa kinyume kabisa na mkataba wa upangishaji. Hali hii imepelekea kampuni hiyo kupewa notisi ya siku 30 kufunga virago na kutoka kwenye jengo la PPF.

Aidha, taarifa zinasema kuwa mtikisiko huo wa biashara hiyo ya Lowassa, pamoja na mambo mengine, umetokana na kuchotwa kwa pesa nyingi ya kampuni hiyo na kutumika kwenye kugharamia uchaguzi wa urais...Maamuzi ambayo wafanyakazi wa kampuni na wadau wengine wanaamini yamehatarisha uhai wa kampuni hiyo kongwe inayojihusisha na ufuaji hapa nchini.

My take,

Kwanza nianze kwa kumpa pole mzee Lowassa kwa matatizo, lakini pia niseme: Huu ndio wakati wa kupima urafiki wa Mbowe na Lowassa. Natarajia kuona Mbowe anatumia sehemu ya lile fungu alilotorosha Uswizi na China (Pesa ya kuuza chama) kumsaidia Lowassa kulipa kodi ya pango na malimbikizo yote kwa maana notisi imetolea ya siku 30 tu.
Ni huyu binti anaeishi kwa kuhongwa, ni mjinga na mfinyu wa akili na asie na historian yeyote. Manji alishindwa kulipa pango quality plaza, ndio kufilisika? Judge Warioba ameshindwa kulipa pango ndio kufirisika, Mimi nimeshindwa kulipa pango Ofisi yangu pale colonation house, Askari monument ndio kufilisika? Mbona analeta tabia za umbeya umbeya hapa, na kwanini hii thread wasiifute? Haina maana kwenye jf kabisa.
 
Du Dry Cleaners? Wewe haumjui Laigwanan Lowassa unamsikia kwenye redio na kumuona kwenye TV tu,Kajipange upya Biashara yake ya mifugo inaweza ikalisha ukoo wenu wote hadi kizazi chako cha tatu bila kuteteleka achilia mbali Real Estate na Share kwenye Vodacom achilia mbali kampuni zake ndogo ndogo alpha xul,Alpha houses and apartments...Lowassa anauwezo wa kuwapangishia PPF towers floor zote mkae ukoo wenu wote acha majungu dada Hamida.

Sasa Mbona Na Wewe Unazidi Tu Kutoa SIRI Zake Za UTAJIRI? Amekuruhusu Uzitaje? Haya Sawa Tumekusikia Je Una Uhakika Alikuwa Analipa KODI Ipasavyo? Wewe Unadhani SIFA Kuja Kutoa Humu SIRI Zake Za UTAJIRI Na MALI Zake Kumbe Inaweza Ikawa Ndiyo Kwanza Unamzidishia Mzee Wa Watu MAUMIVU Kwa Watu Wa TRA Ukizingatia Wale Jamaa Zake Wote WAWILI Waliokuwa WANAMLINDA ( Yule Mwenye SURA Kama Ya MSOMALI Aliyesimamishwa ) Na Mwenzie ( Yule Aliyetinga Mahakamani Akiwa Kavaa Shati Vifungo Vimepishana Na Sandals ). Naomba Niishie Hapa!
 
Sahihi kabisa mkuu ukisoma Nipashe la leo utaona kabisa kuwa sasa mahakama ya mafisadi imeiva kabisa mwisho wa mafisadi umewadia.
Gazeti la wachaga wa kaskazini leo ndio limegeuka source of ur reference? ama kweli kwa Yesu kila goti litapigwa.
 
utajiri wa kuwaibia watanzaia richimond capacty charge ya umeme nk.
ngoja mahakama ya ufisadi ianze ndio mtajua ukweli
Hivi kinachomshtaki mtu ni aina ya mahakama au sheria iliyopo? Kwa hiyo kwa sasa hakuna sheria inayoweza kumshtaki Lowassa mpaka hiyo mahakama itakapo anza? Acheni umbumbumbu wenu.
 
lowasa kufilisika ni rahisi kwani utajiri wake source yake kubwa ni kupiga deal serikalini sidhani kama anaweza kuendesha biashara kihalali ndio maana alitumia nguvu kubwa ya pesa ili aingie ikulu sasa kibao kinageuka anaanza kutapatapa na bahati nzuri chama na serikali wameanza kuona madhara ya pesa zake chafu pale alipotaka kununua uongozi wa nchi
mpaka dakika hii katika majipu yote yanayotumbuliwa sijaona jina la Lowasa.
 
Tatizo siyo kutoa habari bali tatizo humjui Lowasa wala Kampuni zake na hata mtoto wake Fredy walau ungemjuwa usingekuja na huu ushuzi, mbele za wanaume kumtaja Billionea ati anafirisika kwa biashara ya dry cleaner hii ni ishara kwamba siku si nyingi unaweza kuolewa na ndevu zako maana akili huna, nenda pale mikocheni ofisini kwa Lowasa utapata japo akili kidogo, halafu waulize Vodacom ni kampuni gani ni technical supporter wao atleast utajamba kidogo na akii kukurudia.

Na Hapa Ndipo Ninapowashangaa Watanzania. Tunapoteza Muda Mwingi Hadi Kutokwa Na Mapovu Kuwajadili Watu Ambao Ni Matajiri Na Pengine Hata Tu Theluthi Ya Utajiri Wao Tunaweza Tusiufikie Hadi Tunaona Umauti Ilhali au Wakati Sisi Wenyewe Ni MASIKINI WA KUTUKUKA. Nautafsiri Huu Kama Ni USHAMBA, UJINGA, UPUMBAVU Na ULOFA Kama Si UFALA Pia!
 
Sasa Mbona Na Wewe Unazidi Tu Kutoa SIRI Zake Za UTAJIRI? Amekuruhusu Uzitaje? Haya Sawa Tumekusikia Je Una Uhakika Alikuwa Analipa KODI Ipasavyo? Wewe Unadhani SIFA Kuja Kutoa Humu SIRI Zake Za UTAJIRI Na MALI Zake Kumbe Inaweza Ikawa Ndiyo Kwanza Unamzidishia Mzee Wa Watu MAUMIVU Kwa Watu Wa TRA Ukizingatia Wale Jamaa Zake Wote WAWILI Waliokuwa WANAMLINDA ( Yule Mwenye SURA Kama Ya MSOMALI Aliyesimamishwa ) Na Mwenzie ( Yule Aliyetinga Mahakamani Akiwa Kavaa Shati Vifungo Vimepishana Na Sandals ). Naomba Niishie Hapa!
Inaelekea unajuwa mengi, hebu tueleze JK kilichompeleka ikulu kumuona Magufuri ilihali alitoka hapo siku chache tu zilizopita tena kwa mbwembwe ya chopa baada tu ya waziri mkuu kukataa nauli ya mabasi yaendayo kwa kasi? JK ni nani kwenye DART?
 
Gazeti la wachaga wa kaskazini leo ndio limegeuka source of ur reference? ama kweli kwa Yesu kila goti litapigwa.
Hawa ni vidampa tuu mkuu, hata hawajielewi wamesimamia wapi. Walitaka wapewe nchi mpaka wakaiba ushindi, lakini badala ya kuongoza na kutoa mikakati ya kupeleka nchi mbele wanageuka nyuma kupambana na wanayejiita "wamemshinda" jee huko sio kushindwa?
 
Kuchangiwa pesa na Vodacom imekaa vizuri tu na wala haina tatizo lolote, unajuwa kwa nini?

1. Lowasa ni mshirika kwenye biashara za vodacom akiwa kama technical support wa Voda kupitia kampuni yake.

2. Rostam Azizi ni mbia mkubwa wa Vodacom na ni rafiki mkubwa wa Lowasa, je kuna dhambi marafiki kuwezeshana pesa.

Ni maskini peke yake ambaye anayeweza kujivunia kuwa na marafiki malofa wenzake na hata akipata dharura mpaka aweke simu yake rehani ndio apate nauli, wajinga hao ndio wamejaa hapa JF wanaodhani umakini wao umeletwa na Lowasa au tajili mwingine, those are dull maccm poor thinkers.

HAKIKA KUNA WATU MNAJUA KUJIPENDEKEZA NA KUJIKOMBA KWA HAWA MATAJIRI TENA HATA KUSHINDA WAKE ZAO. Leo Ndiyo Naanza Kuwajua WAPAMBE NUKSI!
 
Acha ulofa wewe, et baada ya kutimliwa uwaziri mkuu!!! Alitimuliwa au alijihuzuru. Hivi pale kunawafanyakazi wangapi? MF. Akiuza ng'ombe 10 tu mishahara bado? Acha ulofa, umbea peleka kule hapa si mahali pake. She......i
 
Sahihi kabisa mkuu ukisoma Nipashe la leo utaona kabisa kuwa sasa mahakama ya mafisadi imeiva kabisa mwisho wa mafisadi umewadia.

Na Ndiyo Maana Umeona Na Wengine Wameanza KUUGUA Na Kulazwa Hospitalini MUHIMBILI Mapema Kwani Wameshajua Nini Kinakuja. LAANA Ya Wana MVOMERO Haitamwacha Mtu!
 
inabidi makamanda wapitishe bakuli wamnusuru mzee!! angalau apate hata zile sindano zake za maumivu...
Huu ndio muda wa makamanda kuonyesha mahaba yao kwa Lowassa. Kipindi cha kampeni alijaribu kuomba wamchangie tena kwa kufanya na harambee...lakini hela ilipatikana ilikuwa hadi aibu kuitangaza. Safari hii makamanda wasimuangushe babu fisadi.
 
HAKIKA KUNA WATU MNAJUA KUJIPENDEKEZA NA KUJIKOMBA KWA HAWA MATAJIRI TENA HATA KUSHINDA WAKE ZAO. Leo Ndiyo Naanza Kuwajua WAPAMBE NUKSI!
Kama bado mpaka leo hujui kujipendekeza kunalipa muulize Paulo Makonda atakupa jibu sahihi, nadhani bila shaka atakwambia jipendekeze upendekezwe.

but/lakini kuna tofauti kubwa kati ya fact na kujipendekeza. kusema Bakhresa ni Billionaire ni fact na siyo kujipendekeza, kusema Mo Dewji ni Billionare kijana hiyo ni fact na si kujipendekeza, ila kumfunga kamba za viatu mwanaume mwenzako huko ndio kujipendekeza.
 
WanaJF,

Wanasema waswahili kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Huu msemo umejidhihirisha kwa Lowassa ambae amekuwa akitajwa kuwa ni moja ya watu matajiri Tanzania.

Utajiri huo wa Lowassa ambao wengi wanaamini ni wa magendo na dili za kuibia wananchi wa Tanzania, umeanza kupata mabalaa na kuhofiwa kupotea kabisa kabla ya sherehe za pasaka!

Wengi mnafahamu kuwa kampuni ya Alpha Dry Cleaners inamilikiwa na Lowassa na moja ya ofisi zao ipo PPF Tower kwenye basement. Kampuni hii ndio imekuwa chanzo kikuu cha mapato kwa Lowassa tangu atimuliwe kwenye nafasi ya uwaziri mkuu kwa kashfa ya ufisadi wa RICHMOND.

Taarifa zinasema kampuni hiyo ambayo sasa ndio uti wa mgongo wa Lowassa, imeanza kushindwa kujiendesha; Kwanza wafanyakazi wake hawajapata mshahara kwa miezi miwili hadi sasa na pili, kodi ya pango ambayo ilikwisha mwezi novemba, hadi leo haijalipwa kinyume kabisa na mkataba wa upangishaji. Hali hii imepelekea kampuni hiyo kupewa notisi ya siku 30 kufunga virago na kutoka kwenye jengo la PPF.

Aidha, taarifa zinasema kuwa mtikisiko huo wa biashara hiyo ya Lowassa, pamoja na mambo mengine, umetokana na kuchotwa kwa pesa nyingi ya kampuni hiyo na kutumika kwenye kugharamia uchaguzi wa urais...Maamuzi ambayo wafanyakazi wa kampuni na wadau wengine wanaamini yamehatarisha uhai wa kampuni hiyo kongwe inayojihusisha na ufuaji hapa nchini.

My take,

Kwanza nianze kwa kumpa pole mzee Lowassa kwa matatizo, lakini pia niseme: Huu ndio wakati wa kupima urafiki wa Mbowe na Lowassa. Natarajia kuona Mbowe anatumia sehemu ya lile fungu alilotorosha Uswizi na China (Pesa ya kuuza chama) kumsaidia Lowassa kulipa kodi ya pango na malimbikizo yote kwa maana notisi imetolea ya siku 30 tu.
Sijui nikuite boya au ni nani!?lakini acha uwe kama ulivyo hivi hapa mjini kuna dry cleaner ngapi?mpaka leo hii tuamini ukiwa na dry cleaner wewe ni tajiri?acha uzoba hapa.
 
Duh..mimi sio shabiki hata kidogo wa lowasa ila kuna kitu hakileti sense hapa..hiyo Alpha Dry Cleaners wanauza mashine za kufulia au wanafua nguo tu?. Mana kama ni nguo tu wanafua halafu mzee Lowasa anategemea kipato chake huko basi labda hua wanafua nguo za mkoa mzima na mashuka ya kila hospital huku tz
 
Inaelekea unajuwa mengi, hebu tueleze JK kilichompeleka ikulu kumuona Magufuri ilihali alitoka hapo siku chache tu zilizopita tena kwa mbwembwe ya chopa baada tu ya waziri mkuu kukataa nauli ya mabasi yaendayo kwa kasi? JK ni nani kwenye DART?

Na Mimi Kabla Sijakujibu Naomba Unijibu Hivi Lowassa Ni Waziri Mkuu Aliyefurumushwa au Waziri Mkuu Aliyestaafu au Waziri Mkuu Aliyejiuzuru?
 
Mkuu Lizaboni,

Siku hizi UKIWA wana hati miliki ya Lowassa...Haturuhusiwi kusema chochote kuhusu huyo fisadi. Sijui huu ni utaratibu gani wameanzisha hawa Nyumbu!
 
Hawa ni vidampa tuu mkuu, hata hawajielewi wamesimamia wapi. Walitaka wapewe nchi mpaka wakaiba ushindi, lakini badala ya kuongoza na kutoa mikakati ya kupeleka nchi mbele wanageuka nyuma kupambana na wanayejiita "wamemshinda" jee huko sio kushindwa?
Yote tisa kumi Dr Shein kila siku anasisitiza yeye ni Rais halali wa Zanzibar, cha kushangaza mtu halali una ulazima gani wa kujipigia upatu? lets say wewe una ulazima wa kupayuka kwamba wewe ni mwanaume ilhali inajulikana hivyo? ukipayuka maana yake una dosari na huamini kama wanaokutazama wanakuchukulia wewe ni mwanaume, maana unajihisi kama Mkorea tu mwanaume humjui na mwanamke humjui.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom