- Thread starter
- #121
Hujui ni tenda ngapi hiyo kampuni ilikuwa inapata...kwa ufupi ni kampuni ambayo turn over yake kwa mwaka ni mabilioni...Kodi inalipa kwa dola na imechukua pango ambalo kwa mita ya mraba moja inagharimu $ 18 na ofisi yao nDuh..mimi sio shabiki hata kidogo wa lowasa ila kuna kitu hakileti sense hapa..hiyo Alpha Dry Cleaners wanauza mashine za kufulia au wanafua nguo tu?. Mana kama ni nguo tu wanafua halafu mzee Lowasa anategemea kipato chake huko basi labda hua wanafua nguo za mkoa mzima na mashuka ya kila hospital huku tz