blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 10,486
- 12,655
Hata sijui hili tusema ni kosa la kiasili au ni mpango wa Mungu. Watanzania wamerejesha Imani kuu kwa CCM kupitia kwa Raisi John Magufuli ndani ya wiki moja.
Ninaona ushindi wa kishindo kwa CCM ktk majimbo yote yaliyoahirisha uchaguzi. Ikumbukwa kuwa tar. 25 oct. Wananchi wengi walioichagua UKAWA walipiga kura za hasira tu, kuiadhibu CCM kutokana na kuchemka vibaya kwa awamu ya nne nami nasema walikuwa sahihi sana.
Ila ndani ya Wiki moja MAGUFULI ameweza futa hasira zile za Watanzania na maelfu kwa maelfu sasa wanatamani hata Uchaguzi ungerudiwa tena ili wampe JPM hata ushindi wa 90%.
Kama hvyo ndivyo basi wananchi wameamua na hili ni uhakika majimbo yote yanayoenda fanya uchaguzi kubaki CCM. Hongera sana RAISI WETU MAGUFULI. #HAPAKAZITU.