Hodi MABIBI na mabwana

Jul 13, 2011
48
14
Shalom

Kwa Upendo Mkubwa naomba kuwa Mwanajamii Mwenzeni, Mnipokee mnitunze na Tushirikiane Pamoja

Asanteni sana
 
Gender Balance ndugu yangu hawa Wenzetu wako Sensitive sana inabidi wapewe Praiorite kila Sehemu. Ila Asante kwa Ukaribisho wako

Ume-assume haraka kuwa mimi ni mwanaume... sisemi kama umekosea ila hapa JF wengine gender zetu hazijulikani so uwe makini. Karibu tena
 
unamaanisha wewe ni dr. Alafu unapenda pimbi? Samahani nime qualify kuwa mkalimani?
 
Back
Top Bottom