Eiyer ni ule usio na vidole na usiokanyaga chini

Karibu Polisi officers Mess mishale ya saa saba hivi tule mbusi na Serengeti.....Nipo kwa mda moshi kesho narudi dar.... Karibu molyi!
mmmh...m watching...Nipo Moshi mjini dada! Unaweza kuni PM nitakupa no yangu nikupokee mpendwa! Do it if you are serious!

Karibu sana. Ni PM NIJE NIKUHOST BHANA

asanteni sannnnnnna kwa ukarim na ukaribisho. hahahaaaaaaa kwa kipanga 1