A alph Member Oct 14, 2011 98 9 Oct 15, 2011 #1 Hodi hodi wanajamii naingia tena kwa kishindo! aagh mbona hamnikaribishi? mnaminya tu . lkn ndo nimeingia
Hodi hodi wanajamii naingia tena kwa kishindo! aagh mbona hamnikaribishi? mnaminya tu . lkn ndo nimeingia
Roulette JF-Expert Member Dec 15, 2010 5,579 5,381 Oct 15, 2011 #2 Karibu sana Alph, hatukuskia ulivo bisha hodi... karibu sana.
the grate JF-Expert Member Sep 24, 2011 204 36 Oct 15, 2011 #3 Karibu mwana ingia hakuna haja ya kuvua via2 ..u deserve 2b here fil at hom