Hodi hodi wenyeji!!

Esperance

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
364
84
Hodi hodi wenyeji kwenye jamvi.
Naomba mnipokee.
Michango niwatolee.
Mawazo niwatolee.
Ufisadi niukemee.
Ukweli niwalongee
Burudani niwaletee.

Aksanteni.
 
Karibu,karibu mgeni,
vuta kigoda keti chini,
jisikie upo nyumbani,
muhimu sheria weka kichwani,
kamwe hutajuta jukwaani.
 
Karibu,karibu mgeni,
vuta kigoda keti chini,
jisikie upo nyumbani,
muhimu sheria weka kichwani,
kamwe hutajuta jukwaani.

Asante TATIANA
dada wa maana
jukwaa ni mwanana
kwa kuhabarishana.
 
Back
Top Bottom