Hodi!! Hodi!!! wana JF!!

Bukijo

JF-Expert Member
Jul 28, 2010
208
71
Wana Jamii Forum hodii hodiii,nilikua bado sijafahamu kwamba kuna chombo cha ajabu kama hiki ambacho mtu ana uhuru wa kutoa maoni na kubadilishana mawazo!.
Nashukuruni sana wadau kwa kubuni na kuendesha chombo hiki,
Mungu awabariki sana!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom