hodi hodi wadau

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
naomba mnikaribishe ndani ya JF.
I)Ni mpya, niongozwe na nikikosea nisamehewe.
2)ni mdogo, sio mchanga. lkn naweza kusaidia mijadala mbali mbali
 
Udogo si tatizo bali ukubwa wa mawazo yako ndio tunauhitaji. Kuhusu kukosea hakuna aliye mkamilifu hivyo usiogope. Karibu JF
 
Karibu bandugu, ila ukikosa utakosolewa ili ujirekebishe, ukisamehewa utarudia kosa.
 
Peleka jukwaa la wageni. Kuwa mgeni haimaanishi uingie na ndani viatu
 
Back
Top Bottom