MCHONGANISHI
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 372
- 364
jamani hodi wanajamvi na mimi nimejiunga niweze kufaidi ya humu nimechoka kusoma tu maoni ya watu baada ya kutafakari na mimi nisiwe nyuma tuchangie mawazo tuendeleze mbele gurudumu la maendeleo pamoja na kuburudika pamoja wana JF wenzangu