Hodi Hodi Jamani

MBANINO

Member
Feb 20, 2011
19
5
Kama Mwanachama mpya wa Jamiiforums naomba kujitambulisha kwenu wanachama wenzangu mliopo jamvini kwa muda mrefu.

Nimeona nijiunge nanyi katika jamvi hili lenye kutoa fursa nzuri ya kubadilishana na kuchangia mawazo katika nyanja mbalimbali za maisha yetu ya kila siku.

Nashukuru na naomba ushirikiano wenu katika uchangiaji wa hoja mbalimbali.
 
Back
Top Bottom